Nataka kuanzisha harambee ya kumnunulia Rais Samia shamba Kaliua ili aachane na siasa 2025

Mama anaweza kuwa na weakness Ila. Weakness kubwa zimejitokeza uchaguzi wa 2020 hivyo binafsi Kwa upande wangu mitano tena.
Shida ilianzishwa na Rais Jpm na tuliwambia kwamba huko mbeleni mtavuna matunda ya matendo haya.

Mama anajitahidi kurejesha hali lakini it is beyond Repair
 
Shida ilianzishwa na Rais Jpm na tuliwambia kwamba huko mbeleni mtavuna matunda ya matendo haya.

Mama anajitahidi kurejesha hali lakini it is beyond Repair

Huo ndo ukweli mkuu ,

J p m ameacha mashimo makubwa kizimkazi anashindwa kuyafukia maana inamuhitaji miaka 10 na kuendelea ili kufukia mashimo.
 
Huo ndo ukweli mkuu ,

J p m ameacha mashimo makubwa kizimkazi anashindwa kuyafukia maana inamuhitaji miaka 10 na kuendelea ili kufukia mashimo.
Tangu wakati ule tuliwambia watu mambo yanavyokwenda Mtakwama huko Mbele ...bahati mabya hata Yeye Mwenyewe hakutusikiliza.
 
Jana nilishtuka baada ya kuona wakinamama waliochanga mil 200 ya kumchukulia mama Samia fomu ya kugombea urais.

Tukikaa kimya mama anaweza kudhani anaupiga mwingi sana na kila kitu kinaenda vizuri.

Nataka kuanzisha Harambee ya kumnunulia mama Samia 2025 ili aachane na siasa.

Shamba atanunuliwa maeneo ya Lumbe Kaliua ambapo atajikita katika kilimo cha tumbaku.

Hii ni kwa ajili ya kucounterbalance na wale wanaodhani mama anaupiga mwingi.

Niko safarini kuelekea Kaliua kuanza mchakato wa kupata shamba.
Wasiliana na mbinguni kwanza maana makonda kasema wameshamchukulia fomu ya kugombea urais
 
Back
Top Bottom