kama hakumbuki hiyo sauti ya kwanza?Dada Latifa, dada latifa!! Umewaza vyema sana kuamua kwenda kanisa, mi nasema kubadili mfumo wa maisha. Lakini dada Latifa, naomba tutambue kwa kitengo cha kanisa ni cha Mungu mwenyewe na siri zote za namna kanisa linavyo operate azijua Mungu mwenyewe, Tena hekima na busara ya kuchagua mahali pako sahihi pa kwenda kuabudia amekupa (kwani ni kweli ameshakuambia wapi uende kumuabudu) Mungu mwenyewe.Tambua Roho mtakatifu aliyekupa neema ya kukupeleka Kanisani tayari ameshakuelekeza ni kanisa lipi sahihi la kwenda, isipokuwa tu wewe unasitasita kuisikiliza na kuitii sauti yake ya kwanza iliyokuelekeza vyema.(ikumbuke sauti ya kwanza iliyokuambie uende kanisani ilikwambia kanisa lipi?). Sauti hizi za Jf ni sauti za pili tena na ya shetani imeingilia kati ili kukusahaulisha ile sauti ya kwanza, na pia kuwatukana watumishi wa Mungu ili ujazwe dharau tena juu yao na kubadili mawazo yako mazuri. ITII SAUTI YA ROHO MTAKATIFU (ILE YA KWANZA), KISHA NENDA KANISA ILIYOKUELEKEZA PASIPO KUSITASITA WALA KUJIHOFU USIJE UKAGEUZA MNARA WA CHUMVI KAMA MKE WA RUTU!! Ubarikiwe sana!
Kwa Mungu ni Full package apige magoti amuulize Roho Mtakatifu atamkumbusha kila kitu!kama hakumbuki hiyo sauti ya kwanza?
nashukuru sana naubarikiwe, basi nitaenda moja wapo ila sasa lipi?
Kichwa kinanigonga bado.
Nimeupenda ushauri wako.
Na sabato pia ni kanisa lenye misingi mizuri.
Nakushauri ndugu yangu ingia kanisa la rc ndio ambalo halina mambo mengi
Ni ushauri mzuri sana lakini nakushauri uutathmini kwa maandiko ya Biblia kinyume na hapo ni Busara tu za mwanadamu ambazo Mungu ameziita UPUMBAVU!! Kwa sababu unashauriwa na MTU, usiende kwa watumishi wanaojiita MITUME; Lakini Neno linasemaje, "Kanisa linajengwa chini ya Misingi ya MITUME NA MANABII" Na pia Usiende kwa watumishi wanaohubiri sana utoaji! Nakukumbusha tu kwamba usiposisitizwa na kufundishwa vyema kuhusu UTOAJI NA NAMNA YA KUTOA, Amini usiamini hutatoa na usipotoa Hapo ibada ni batili, kumbuka Mungu amekataza kabisa kujaribiwa na MTU, lakini sehemu moja tu ameruhusu for purpose amesema; "Nijaribuni Kwa Matoleo Muone kama Sitafungua Madirisha ya Mbingu na kuwamwagia Mibaraka tele..." Lakini pia baraka za Baba yetu wa Imani zilikuja Kwa kutoa (tena mwanae Isaka wa Pekee) na Yesu Mwenyewe akajitoa sadaka kwa ajili yetu, hivyo kupinga makanisa yanayosisitiza utoaji tafakari kwanza na Muulize Roho Mtakatifu atakufunulia namna ya kufanya.Na ukishauriwa Kupiga makanisa yanafanya Miujiza tafadhali Roho mtakatifu na akupe hekima ya kutambua miujiza ya Mungu na ile ya Kishetani, kwani Maandiko yako Wazi kuwa Yesu Kristo tunayemfuata hakuwahi kuhubiri pasipo kutenda miujiza ili kuwavuta wasioamini waamini baada ya kuyaona matendo Makuu ya Mungu kupitia kwa Mtumishi wake, kadhalika hata mitume wake aliowaacha nao hawakuwahi kuhubiri Injili chukwuchukwu ila iliyoambatana na ishara na maajabu ili kuwavuta wasioamini waokoke na kutubu dhambi zao.Unaonaje mtumishi anapokusisitiza kila siku kuwa Yesu anaokoa na kuponya halafu katika utumishi wake hata siku moja hujawahi kushuhudia akiokoa(kumtoa mtu katika maisha ya dhambi) wala kumponya walau Mgonjwa wa mafua tu!!? Roho Mtakatifu na akutafakarishe na hili pia kabla ya kufanya uamuzi.UBARIKIWE SANA!
Thanks a lot, hilo kanisa halina
branch huku mabibo au river side hata?
jamani kwaanae jua anijuze niko more than serious pls
Cheap is expensiveMkuu vipi, Mzee wa Upako yuko pale pale karibu nawe, usafiri wa mabasi upo kuanzia Riverside hadi kanisani kwake, sasa unataka kwenda wapi zaidi? Lakini andaa salary slip kama ni mwajiriwa au leseni ya biashara na malipio ya kodi ya serikali, kama ni dent andaa uthibitisho wa mkopo unaopokea toka HESLB, nyaraka hizi zitasaidia ukokotoaji wa 10% ya Mungu. Nakutakia ibada njema.
Mhh hayaUkristo ndo dini sahihi ya kumpeleka mtu mbinguni ila huku nako shetani kajisajili. Please dada yangu mi nakushauri mtafute ndugu mkristu mfano mama mchungaji na akushauri vzr ili mfanye kwanza maombi nae ili Roho Mt aseme nawe wapi ukamwabudu Mungu ktk roho na kweli. Usiogope, Kristo aliyeweka nia hii njema moyoni mwako atakutetea. Hongera kwa kuwa sasa hauko mbali na Mbingu!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
wewe unavutiwa na lipi maana umevutiwa mda mrefu eg, roman, lutheran, anglican, morovian, sabato, nakadhalika alafu ndio tujue unaanzia wapi.
labda nikuulize, mazingaombwe ulimaanisha nini? maana efatha kuombewa watu wakadondoka ni swala la kawaida sana sasa labda inawezekana nimekuelewa vibaya.
Nimeamua kuwa mkristo natafuta kanisa lakiroho nianzekwenda maeneo ya mabibo hosteli. Sio kanisa la mazingaumbwe noo kanisa la kuijenga roho yangu na uhusiano mzuri na Mungu mwenyezi
Why!? Mbona Biblia ina Mambo mengi!?
Nimeamua kuwa mkristo natafuta kanisa lakiroho nianzekwenda maeneo ya mabibo hosteli. Sio kanisa la mazingaumbwe noo kanisa la kuijenga roho yangu na uhusiano mzuri na Mungu mwenyezi