makanisa kwaajili ya mazingaumbwe siyataki wala ya kulipa hela ili Mungu ajibu sitaki. Nataka kanisa dogo lenye imani ya kweli na unyenyekevu kwa MunguNakushauri ukamuone Mama Zungu (Rwakatare), Zungu Kakobe, Zungu Mwingira, kama hawa hauwataki pale Mabibo karibia na baa ya Rangers kuna wale waNigeria (wakimashaka) wanahubiri neno la Mungu pia tena wana maajabu ya balaa kama vile nyoka anakutoka tu ghafla mfukoni, mtu kuanguka (msanii) toka juu ya mti huku akilia alitumwa na Mungu kuna wanigeria watamsaidia kuokoka ndipo akaja pale. Mbona makanisa ya hajabu yako mengi tu. Kama unataka ni pm nije nikuchukue nikupeleke ila mwezi ujao kwani kwa sasa niko mbali kidogo.
Maana halisi ya kanisa imo rohoni mwako, ukimkubali na kumkiri Yesu Kristo kwa roho na kwakweli kuwa Bwana na Mwokozi wako, kule kanisani ni mahali tu pakukutana na wana kanisa wengine
Tahadhari; Epuka makanisa yanayohubiri miujiza tu Siku zote
Epuka makanisa yenye viongozi wanaojiita mitume na manabii
Epuka makanisa yenye kusisitiza utoaji zaidi kuliko kuhubiri neno la Mungu
Unaweza kusali Anglikana, Katoliki, Lutheran na Pentekose lakini huko kwingine manabii na mitume wenye A.K.A nyiiingi kuwa makini nako, hasa kwakuwa umchanga kiroho
Umeuliza vyema, I was about to ask the same question. I was in the assumption that she was Muslim at first!
makanisa kwaajili ya mazingaumbwe siyataki wala ya kulipa hela ili Mungu ajibu sitaki. Nataka kanisa dogo lenye imani ya kweli na unyenyekevu kwa Mungu
minimetokea Msikitini
pastor atakuwa nani?kanisa linaanzia nyumbani kwako
Umeijuwa kweli na kweli itakuweka huru, nenda kaabudu kanisa lolote lile, kama mafundisho yake si mazuri ndio uhame.Nimeamua kuwa mkristo natafuta kanisa lakiroho nianzekwenda maeneo ya mabibo hosteli. Sio kanisa la mazingaumbwe noo kanisa la kuijenga roho yangu na uhusiano mzuri na Mungu mwenyezi
pastor atakuwa nani?
hapo hamna wauminibaba awe askofu mama awe mchungaji watoto wawe wainjilisti
hapo hamna waumini
kanisa linaanzia nyumbani kwako
ni kweli ila nataka kushirikiana na wenzangu kwenye ibadaHaya makanisa madogo ya kisuhikaji wala usiende kwani huko ndiyo kuna mafuska waliotukuka. Wengi wao wameacha uchangu na sasa wanajifanya wameokoka. Dini ni imani yako tu, amini na kumuomba Mungu kwa nafsi yako atakusaidia tu.