Nataka kuagiza VW Touareg V6

Nataka kuagiza VW Touareg V6

Wakuu, nataka kuagizia sasa gari ya ndoto yangu, gari inayokonga mtima wangu si ingine bali ni VolksWagen Touareg V6.
Hii gari kila nikiiona road naweweseka jinsi ilivyo body yake kubwa na muonekano wa kiume/kibabe.

Hii ni SUV yenye cockpit moja matata sana na ya kipekee.
Budget yangu ni M 35, sasa naomba kupata hints kwa mjuzi ambaye alishawahi kumiliki au kuwa close na mtu mwenye hili dungu.
Mad Max RRONDO Hamritzer
View attachment 3284747View attachment 3284748View attachment 3284749
Utanikumbuka! Achana na gari za Germany
 
Naheshimu maoni yako mkuu wangu, lakini naomba Tips and Hints katika hilo nitashukuru sana
Hizi gari ukinunua Brand New, umelamba Dume. Ila used ni tatizo kubwa sana.
Spares parts ni very expensive!
Ukiwa na fedha za kutosha kuzinunua, unakutana na issue nyingine mbili kubwa
1. Pesa ya kuzinunua unazo ila spares parts hujui ununue wapi
2. Ukizipata spares parts mafundi ni shida kubwa,hawapo,waliopo hawayajui hayo magari ya Germany.
3. Ukipata breakdown njiani,utalala hapo hapo.
 
Nimekuelewa vizuri mkuu, ngoja niumize kichwa kwa option ingine japo toyota za budget niliyonayo naona nakosa SUV nzuri ya kiume
 
Ni gari nzuri ina confort sana na ina balance ya kutosha.
20250404_104033.jpg
20250404_104110.jpg
20250404_104053.jpg
 
Hizi gari ukinunua Brand New, umelamba Dume. Ila used ni tatizo kubwa sana.
Spares parts ni very expensive!
Ukiwa na fedha za kutosha kuzinunua, unakutana na issue nyingine mbili kubwa
1. Pesa ya kuzinunua unazo ila spares parts hujui ununue wapi
2. Ukizipata spares parts mafundi ni shida kubwa,hawapo,waliopo hawayajui hayo magari ya Germany.
3. Ukipata breakdown njiani,utalala hapo hapo.
Mkuu ni parts gani Mtanzania atashindwa kuifunga kwenye gari naona hii kauli ikiandikwa kwa kujirudia nipo SA ila mafundi wa Bongo kwa sisi watu wa magari nawavulia kofia..
 
Nikiliona hili dude naweweseka napatwa degedege kwa muda kudadekiii, lakini nikisikiliza maneno ya walimwengu navunjika moyo
Sema hizi gari nyingi zinatoka Ulaya zinakua zimetumika sana ndio maana zikija Tanzania zinaanza kusumbua mimi huku SA sijawahi kumuuliza mtu na siji kumuuliza mtu kuhusu gari yeyote nayojitaji maana nanunua huku gari naiona jinsi ilivyo na zote hazijawahi kunisumbua Tanzania Mtanzania ananunua gari hajatofautiana umri na gari lake kwa nini isikusumbue wao wapo busy kusoma mileage ambazo zinarudishwa kwa mashine..
 
Sema hizi gari nyingi zinatoka Ulaya zinakua zimetumika sana ndio maana zikija Tanzania zinaanza kusumbua mimi huku SA sijawahi kumuuliza mtu na siji kumuuliza mtu
Mkuu, naomba unambie njia sahihi ninazoweza kutumia kupata hii chuma kwa bajeti hiyo ya M35
 
mkuu hii bei ya Total ni bei utakayolipia mpaka bandarini au imekaaje hizi Car price na Total Price tofauti ikoje?
Bei hizo ni CIF/CFR price, yaani ni bei mpaka inafika Bandari ya Dar es Salaam
Gharama zingine ni kama ifuatavyo;
Touareg ya Mwaka 2004:Taxes: 12,690,522.24 (As per TRA calculator)

Other Clearance Costs at Dar Port;

1. Clearance Agency fee TZS. 250,000/=
2. Port/ICD charges TZS. 405,000/=
3. Wharfage charges TZS. 210,000/=
3. Local shipping line charges TZS. 198,000/=
4. Plate Number TZS. 40,000/=

TOTAL COSTS: TZS. 1,103,000/=

Touareg ya Mwaka 2013:Taxes: 29,935,755.07 (As per TRA calculator)

Other Clearance Costs at Dar Port;
1. Clearance Agency fee TZS. 250,000/=
2. Port/ICD charges TZS. 405,000/=
3. Wharfage charges TZS. 510,000/=
3. Local shipping line charges TZS. 198,000/=
4. Plate Number TZS. 40,000/=

TOTAL COSTS: TZS. 1,363,000/=

Kwa huduma za ugomboaji (Clearing & Forwarding) wa gari lako, karibu Ruaha Freight Ltd, kampuni yenye leseni ya Uwakala wa Forodha kutoka TRA. Ndani ya siku mbili (2) tutakutolea gari lako Bandarini. Tunafanya kazi kwa ufanisi, haraka na uaminifu mkubwa;
Tunapatikana kwa mawasiliano yafuatayo;

Ruaha Freight Ltd,
Hifadhi House, 7th Floor
Samora/Azikiwe Posta
P.O BOX 62442,
Dar es salaam, Tanzania
Email: ruahafreight2017@ruahafreight.com
Website: www.ruahafreight.com
Tel: +255222128447

Mob: +255718 866 651 (call or whatsapp).
 
Mkuu, naomba unambie njia sahihi ninazoweza kutumia kupata hii chuma kwa bajeti hiyo ya M35
Nunua mazda CX-5 ya Petrol kwa hela hiyo utanunua gari ya muda kidogo itafika na kuanza kukusumbua hizi gari zinataka upate ya kuanzia 2010 kuja mbele wakati kodi yake tu imesimama imgekua inatosha kununua hapa kwa model za karibuni ningekutafutia ila hiyo pesa bora utafute ya Petrol au diesel yake ya SA za kuanzia 2015 kuendelea.
 
Hizi Mazda za Petrol hazisumbui sana kama zile za DPF ya Diesel? Maana naona zinakimbizwa Gereji sana hapa bongo
 
Hizi Mazda za Petrol hazisumbui sana kama zile za DPF ya Diesel? Maana naona zinakimbizwa Gereji sana hapa bongo
Hata Mazda za Diesel za SA hazisumbui kabisa ukiipata huko chukua ila uanze miaka ya karibuni kuanzia 2015 kuja mbele naenda sehemu tutawasiliana baadae mkuu..usichukue Vw ya kitambo utajuta kuwa na gari ila kama ya miaka ya karibuni unachukua tu kuanzia kuhitaji matengenezo ni miaka miwili mbele au mitatu wakati ushaizoea gari na unajua sehemu za kupata parts zake kwa urahisi mimi ni mmoja ya watu natumia gari yeyote ila za miaka ya karibuni tu.
 
Chukua VeWe T hiyo mzee. Hutajuta hiyo gari, watakuja watu wajatumia hiyo gari kukuzuzua hapa, nakwambia hawajatumia hiyo gari, alietumia hiyo gari, mwenye roho safi hatakushauri vinginevyo mkuu.

VeWe kuna magari walidesa ila sio Tuuer.
Natumia hii gari mwaka wa nne sasa, nilimvua mtu Rusumo Border pale. Sijutii hii gari kwa standard, durability, flexibility, comfortability (pure leather yoga seat), driving confidence, powerful v6 diesel engine, off-road capabilities (vumbi, tope, changarawe), performance and Speed. Torque ya kibabe and fuel efficiency, gari ya "mjeremani" hiyo inanusa diesel mzee.
Chimbo ya vipuri "genuine" ya hii gari ni kwa Kagame tuu hapo, ukiwa Rusumo, Nyakanazi au Benako wanakuletea mkononi toka Kisabo, Kigali.

Nyongeza: Rwanda wanazo LHD, vijana wa kinyarwanda wakipata hela wana option ya Porsche Cayenne na Tuuer.
safi sana
 
Back
Top Bottom