Nataka kuagiza VW Touareg V6

Nataka kuagiza VW Touareg V6

Mkuu nahitaji ya 2008 mpaka 2010.
KUhusu Diesel/Petrol hapo ndo nahitaji elimu zaidi which one is the best for Tz
Nafikiri diesel ni nzuri zaidi kwa hali ya afrika kwani matumizi ni kidogo
Petrol labda uwe mjini tu maana inakula hela nyingi kwa matumizi

Diesel kama ni safi bila kuchakachuliwa basi ni bora zaidi, maana ingini ikipata shida ni gharama kubwa

Hakikisha kuna mafundi wazuri wa haya magari

All the best
Halafu inategemea sasa unapendelea Auto au manual
Mimi binafsi napendelea Manual kama ni sport car ila hizi kubwa Auto ni bora

Na siku hizi gari karibia zote ni Auto mpaka malori
 
Wakuu, nataka kuagizia sasa gari ya ndoto yangu, gari inayokonga mtima wangu si ingine bali ni VolksWagen Touareg V6.
Hii gari kila nikiiona road naweweseka jinsi ilivyo body yake kubwa na muonekano wa kiume/kibabe.

Hii ni SUV yenye cockpit moja matata sana na ya kipekee.
Budget yangu ni M 35, sasa naomba kupata hints kwa mjuzi ambaye alishawahi kumiliki au kuwa close na mtu mwenye hili dungu.
Mad Max RRONDO Hamritzer
View attachment 3284747View attachment 3284748View attachment 3284749
Kwa mwandiko huu hata IST huiwezi
 
Njoo tukupe mkopo wa 55% ya gharama za kuagiza gari mpaka inakufikia na mkopo utalipia kidogo kidogo Hadi miaka miwili.Au tutakupatia mkopo wa Kununua gari hyo kama ipo yard hapa Tz Kwa 45% ....hii ni Kwa yeyote anaye taka kununua gari yard au anataka kuagiza gari nje ya nchi.Call 0784087481....
 
Andika hapa page yenu ni visit nione terms and conditions
 
Sisi ni platinum credit Tanzania
Screenshot_20250319-130047~2.jpg
 
Back
Top Bottom