Nataka kuagiza VW Touareg V6

Nataka kuagiza VW Touareg V6

asante sanaa mkuu kwa ushuhuda vivid, mkuu unaweza kunipa contacts zako DM ili nikuchek tuzungumze machache maana ninahamu ya kuchukua hii chuma mwez ujao iwe imefika mkononi
👏👏👏
 
Wakuu, nataka kuagizia sasa gari ya ndoto yangu, gari inayokonga mtima wangu si ingine bali ni VolksWagen Touareg V6.
Hii gari kila nikiiona road naweweseka jinsi ilivyo body yake kubwa na muonekano wa kiume/kibabe.

Hii ni SUV yenye cockpit moja matata sana na ya kipekee.
Budget yangu ni M 35, sasa naomba kupata hints kwa mjuzi ambaye alishawahi kumiliki au kuwa close na mtu mwenye hili dungu.
Mad Max RRONDO Hamritzer
View attachment 3284747View attachment 3284748View attachment 3284749
Hakikisha sheri ipo karibu na unapokaa, pia una namba rasmi za mafundi.
 
Mkuu, umeagiza kwa njia ipi?
Maana bado me sijaagiza ndo natarajia mwezi ujao niagize
Nimenunua chuma si mpya ni used kutoka kwa jamaa yangu hapo Morocco.

Hivyo kipengele kilikuwa ni namna ya kuiingiza Bongo na muda ambao ingetumia, lakini Alhamdulillah haikuwa na mambo mengi tukafanikisha kuipakia japo kwa route ndefu mno.
 
Mm namiliki mdogo wake Tuareg kwa maana ya Tiguan ya mwaka 2012, ushauri wangu kwako gari za Europe hazihitaji mikono mingi yaani usimpe mtu gari kiholela aiseee kuna wapuuzi wakiona chuma ni ya kufunguka wanatafuta sifa road aiseee, gari tumia wewe mwenyewe
Umetisha sana Mkuu, hiyo chuma ni hatari.

Upo sahihi, mimi wahuni wameniharibia Subaru yangu.
 
Njoo tukupe mkopo wa 55% ya gharama za kuagiza gari mpaka inakufikia na mkopo utalipia kidogo kidogo Hadi miaka miwili.Au tutakupatia mkopo wa Kununua gari hyo kama ipo yard hapa Tz Kwa 45% ....hii ni Kwa yeyote anaye taka kununua gari yard au anataka kuagiza gari nje ya nchi.Call 0784087481....
Kausha dam kumbe upo huku nako kwa wanaume wa VolksWagen Touareg V6?
 
Mm namiliki mdogo wake Tuareg kwa maana ya Tiguan ya mwaka 2012, ushauri wangu kwako gari za Europe hazihitaji mikono mingi yaani usimpe mtu gari kiholela aiseee kuna wapuuzi wakiona chuma ni ya kufunguka wanatafuta sifa road aiseee, gari tumia wewe mwenyewe
Nimekuelewa vyema mkuu
 
Back
Top Bottom