Nataka kuacha kazi .

Acha kazi ukiwa umejipanga!

Hivi ile kauli ya kwamba mfanyakazi wa kima cha chini alipwe Tsh 375,000 ilikuwa ni kick?
 
Asante sana
Tatizo watoto,ila nawaza ningekuwa Sina watoto zaman ningeacha kazi
Namshukuru kwa hawa vijana wangu ni baraka mno maishan mwangu,sikufuru ila Kuna wakati nawaza ningejua ningefanya kama wazungu kuzaa uzeeni

Hahaha..unahis huku hakuna shule nzuri..ni vile bad hujaamua...!kila la heri
 
Wakati unahangaika hiyo kampuni isimame utakuwa unaishi vipi ?

Building a company from scratch ain't something that easy.

Na usijidanganye kujilipua ki-bahati nasibu, wanao wataomba mikate barabarani.

Smart people always take calculated risks.

Usijidanganye kabisa, hata duka tu huwezi kufungua leo na ukalitegemea kuishi- LITAKUFA.

Relax. Be wise !
 
Kiwanja ni mil 8,ila kiuhalisia Bei yake ni mil 15 hadi 12
Niko dsm hapa wanapojenga barabara ya njia 8, lifestyle nishabadil kitambo tatizo Kila leo afadhal ya jana
 
Vumilia ndugu yangu kamwe usikate tamaa muombe sana mungu ipo siku atajibu maombi yako
 

Hivi mtu unamaliza shule unaenda kuajiriwa na SERIKALI?

Hakuna majitu dhalimu na system dhalimu dunia hii kama kitu kinachoitwa SERIKALI!

Ni dude linaloendeshwa kwa matakwa ya wanasiasa!

It is a murder engine!
 
Wakati wengine wanatafuta ajira wengine wanataka kuacha, uza kiwanja kimoja malizia nyumba na kazi usiache
 
Kwani shida iko wapi unalipwa mshahara ambao huufanyii kazi effectively? Unafika ofcn unacheza gemu kwa komputa mwisho wa mwezi unaenda ATM kutoa mshiko, shida iko wapi?
 
Hivi mtu unamaliza shule unaenda kuajiriwa na SERIKALI?

Hakuna majitu dhalimu na system dhalimu dunia hii kama kitu kinachoitwa SERIKALI!

Ni dude linaloendeshwa kwa matakwa ya wanasiasa!

It is a murder engine!



Ni vile nchi yetu maskini tu..mie mdogo wangu anasema anajuta hata kupeleka cv huko...ovyo sana...alafu watumishi wamekuwa wanyoooongeee..tena mwez huu qwngine mshahara umechelewa sana sana kutoka..shenzy kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…