da, safi sana hii, hongera kanyagio kwa kufanya uamuzi wa busara. pale samora avenue kuna mahali wanatoa hiyo service ila sina namba zao bahati mbaya.
umenikumbusha Tropical flowers, hapa mwaka 2000 au 2001 wakati my wife akiwa ni mchumba nilimnunulia zawadi hapo nikampelekea alifurahi sana.. tena hawa tropical flowers walikuwa wana ideas nzuri za zawadi. nikiwapata nitashukuru sana!!Pia kuna duka lipo Namanga jina melisahau ila namba ya mwenye hilo duka ni: 0754848084. Zamani kuna doka lilikuwa nyuma ya Bills linaitwa Tropical Flowers ila wamehama ule mtaa waliohamia hata siujui jina lake labda kama kuna mdau anaujua. Ila ni uhindini karibu na Kisutu kitu kama hicho.
Carmel, mamushka, Elia na Lizzy nawashukuru kwa mawazo yenu.. thanks
ngoja nitwange hizo namba nione mambo yataendaje. nitapita leo niweke order kabisa halafu nitawapa feedback.
mwenye kujua sehemu nyingine asisite kuniambia!!
Mkare nimeshampigia na kakubali kufanya office delivery, nitaenda kuonanan naye later today or over the weekend!Pia kuna duka lipo Namanga jina melisahau ila namba ya mwenye hilo duka ni: 0754848084. Zamani kuna doka lilikuwa nyuma ya Bills linaitwa Tropical Flowers ila wamehama ule mtaa waliohamia hata siujui jina lake labda kama kuna mdau anaujua. Ila ni uhindini karibu na Kisutu kitu kama hicho.
ndugu zangu mimi nipo very serious. nataka kumpa surprise ya maua na zawadi ndogo mke wangu ambaye tumeishi naye miaka isiyopungua 4. huwa nampa zawadi mbalimbali ikiwemo mapenzi ya kweli.
sasa ndugu zangu nataka kufahamu wapi wanauza maua mazuri na wana service ya kufanya office delivery (yanatakiwa kuwa delivered ofisini iliyopo DAR CITY CENTER).nataka kufanya hili ikiwa ni alama ya upendo wetu wa kila siku.
ninaomba mwenye kufahamu anielekeze ili niende niweke order ili jumatatu waweze kufanya office delivery. unaweza kunipa hata namba ya simu au ramani, nitashukuru sana watu mkinipa taarifa kuhusu hili.
You are a good man!Ongezea na UAMINIFU kwenye hiyo list ya zawadi!wanandugu tayari nimeshafanya order .. nimeenda pale Namanga kwa dada mmoja anaitwa Tulli (simu imetolewa hapo juu) na kakubali kunitengenezea flowers nzuri kwa 20,000/= na ataongezea vijizawadi vingine e.g. valentine handkerchiefs, briefs, etc (nitavilipia). Delivery to City center itakuwa 5,000/=
ngoja nisubirie siku yenyewe!! nitatoa mrejesho!!
Bravo Mkuu. umetoa somo la mapenzi ya kweli.
Samahani wakuu hivi maua ndo yanaonesha mapenzi ya kweli au matendo yako?????????????????????????:twitch::twitch::twitch::twitch:
Ni moja ya matendo yanayoashiria kujalitkwa baadhi ya watu!
Samahani wakuu hivi maua ndo yanaonesha mapenzi ya kweli au matendo yako?????????????????????????:twitch::twitch::twitch::twitch: