Nataka ITV wanilipe fidia ya Trilioni 5 kwa kunisingizia

yani mtu na akili zako timamu kabisaa unafungua kesi ya madai ya kusingiziwa na kutaka fidia ya trillioni 5 bongo hii jamani..

na usawa huu wa makufuli nani akupe hiyo pesa... acha ndoto ya mchana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KITUO CHA TV KUNILIPA TRIONI 5.

Nimeshangaa kituo fulani cha Tv kilirusha habari za kupotosha juu yangu na kutangaza mimi ni Jambazi na Gaidi, kipindi nasimamia uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Nyampulukano, jimbo la Sengerema mwaka 2013.

Nikiwa msimamizi mkuu kutokea chama cha NCCR Mageuzi. Nimesikitishwa sana na udhalilishaji huu uliofanyika, Mungu anipe nguvu lazima wanilipe Trioni 5.

Ifikie hatua tuache kuzusha uongo na kupeleka kwenye Televisheni ili kumchafua mtu asiye na hatia kisa wivu.
Deogratius Kisandu

Bado hujapewa UDC au Kuitwa kupewa pipi ya kijiti na bwana wenu mkubwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KITUO CHA TV KUNILIPA TRIONI 5.

Nimeshangaa kituo fulani cha Tv kilirusha habari za kupotosha juu yangu na kutangaza mimi ni Jambazi na Gaidi, kipindi nasimamia uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Nyampulukano, jimbo la Sengerema mwaka 2013.

Nikiwa msimamizi mkuu kutokea chama cha NCCR Mageuzi. Nimesikitishwa sana na udhalilishaji huu uliofanyika, Mungu anipe nguvu lazima wanilipe Trioni 5.

Ifikie hatua tuache kuzusha uongo na kupeleka kwenye Televisheni ili kumchafua mtu asiye na hatia kisa wivu.
Deogratius Kisandu

Za Zimbabwe
 
Hivi sigara mwitu ziliruhucwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom