Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,334
Mkuu jaribu pia kutafuta wataalamu wa maradhi ya akili kwanza kabla ya kuendelea na ndoto hii.Ifikie hatua tuache kuzusha uongo na kupeleka kwenye Televisheni ili kumchafua mtu asiye na hatia kisa wivu.
Deogratius Kisandu
Kaazi kweli kweli! kila la kheriKITUO CHA TV KUNILIPA TRIONI 5.
Nimeshangaa kituo fulani cha Tv kilirusha habari za kupotosha juu yangu na kutangaza mimi ni Jambazi na Gaidi, kipindi nasimamia uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Nyampulukano, jimbo la Sengerema mwaka 2013, nikiwa msimamizi mkuu kutokea chama cha Nccr Mageuzi. Nimesikitishwa sana na udhalilishaji huu uliofanyika, Mungu anipe nguvu lazima wanilipe Trioni 5.
Ifikie hatua tuache kuzusha uongo na kupeleka kwenye Televisheni ili kumchafua mtu asiye na hatia kisa wivu.
Deogratius Kisandu
KITUO CHA TV KUNILIPA TRIONI 5.

Hivi F-35 huwa inauzwa gali hivyo mkuu??Umekuwa kampuni ya apple wewe. Hata mikataba nchi inayokiukwa na nchi nyingine haiwi pesa ndefu hivyo. Naona unataka kununua F-35 wewe
F35 programme imegharimu $500B mpaka sasaUmekuwa kampuni ya apple wewe. Hata mikataba nchi inayokiukwa na nchi nyingine haiwi pesa ndefu hivyo. Naona unataka kununua F-35 wewe
Huyu Kisandu ana maambukizi mapya ya mdororo wa akili/ujinga
Anataka kama tatu za kuingia nazo msituniHivi F-35 huwa inauzwa gali hivyo mkuu??