Nataka ITV wanilipe fidia ya Trilioni 5 kwa kunisingizia

Hebu mwangalieni kichwa chake mleta mada kisije kikawa kidogo maana tumeambia Zika ipo miaka mingi tu
 
Hivi wale samaki wa magufuli serikali ililipa kiasi gani km fidia?
 
Jamani yeye kajipima kaona thaman ya utu wake ni zaidi ya hizo trioni 5. kama wewe unaona kwamba thamani yako ni sawa na laki moja basi ukilipwa hata Elfu hamsini inatosha kabisa!
 
KITUO CHA TV KUNILIPA TRIONI 5.

Nimeshangaa kituo fulani cha Tv kilirusha habari za kupotosha juu yangu na kutangaza mimi ni Jambazi na Gaidi, kipindi nasimamia uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Nyampulukano, jimbo la Sengerema mwaka 2013, nikiwa msimamizi mkuu kutokea chama cha Nccr Mageuzi. Nimesikitishwa sana na udhalilishaji huu uliofanyika, Mungu anipe nguvu lazima wanilipe Trioni 5.

Ifikie hatua tuache kuzusha uongo na kupeleka kwenye Televisheni ili kumchafua mtu asiye na hatia kisa wivu.
Deogratius Kisandu
Wewe ni jambazi na una elements zote za kijambazi, Trilioni 5 umeshawahi kuiona hata benki imewekwa?
Yaani pesa ya bajeti ya nchi nzima ndo unadai ulipwe?
Kwa kigezo hicho wewe ni jambazi tu hakuna namna.
 
Hahahaha, uwekezaji wa Dangote kwenye kile kiwanda cha saruji mtwara ni trilioni moja tu pamoja na gharama zote hadi kiwanda kinaanza kazi, ila huyo Kisandu anataka trilioni tano yaani sawa na mtaji wa kufungua viwanda vitano kama vya Dangote!
df2b07d671c5b7fc0bb0736fb14dd539.jpg
 
Joke of the year. Ivi hakunaga tuzo umu za kichekesho cha mwaka? Maana uyu nae atakua favourite contender
 
i hate reading of DK everyday. ni mtu mmoja anayetafuta umaarufu kwa nguvu zote, teyari polepole ameishapatikana kule idara ya kuongea tafuta kazi ingine ya kufanya.
 
Ugonjwa wa ZIKA umeikumba Tanzania! Halafu mnasema hamna ugonjwa haupo

Mwoneni mleta thread ako na dalili zote muhimu za ZIKA
 
Back
Top Bottom