Nataka ITV wanilipe fidia ya Trilioni 5 kwa kunisingizia

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,332
KITUO CHA TV KUNILIPA TRIONI 5.

Nimeshangaa kituo fulani cha Tv kilirusha habari za kupotosha juu yangu na kutangaza mimi ni Jambazi na Gaidi, kipindi nasimamia uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Nyampulukano, jimbo la Sengerema mwaka 2013.

Nikiwa msimamizi mkuu kutokea chama cha NCCR Mageuzi. Nimesikitishwa sana na udhalilishaji huu uliofanyika, Mungu anipe nguvu lazima wanilipe Trioni 5.

Ifikie hatua tuache kuzusha uongo na kupeleka kwenye Televisheni ili kumchafua mtu asiye na hatia kisa wivu.
Deogratius Kisandu

ccm.jpg
 
KITUO CHA TV KUNILIPA TRIONI 5.

Nimeshangaa kituo fulani cha Tv kilirusha habari za kupotosha juu yangu na kutangaza mimi ni Jambazi na Gaidi, kipindi nasimamia uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Nyampulukano, jimbo la Sengerema mwaka 2013, nikiwa msimamizi mkuu kutokea chama cha Nccr Mageuzi. Nimesikitishwa sana na udhalilishaji huu uliofanyika, Mungu anipe nguvu lazima wanilipe Trioni 5.

Ifikie hatua tuache kuzusha uongo na kupeleka kwenye Televisheni ili kumchafua mtu asiye na hatia kisa wivu.
Deogratius Kisandu
Kaazi kweli kweli! kila la kheri
 
Majani makavu a.k.a sigara mwitu.
 
hivi unaota au kuna mtu amehack acount yako???..kama ni wewe uliyeandika basi malaria itakuwa imekupanda kichwani..

kila la heri ktk ndoto zako!
 
Ok sawa,utapewa Laki Tano.

Huenda vitendo vyako ulivyovifanya siku husika zinashahibiana kabisa na vitendo wafanyavyo aina ya watu uliofananishwa nao na pengine kupewa majina hayo.

Kila la kheri Mkuu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom