Ukisema hawatufai wanakuumiza uwe mpole

Ukisema hawatufai wanakuumiza uwe mpole

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
265
Habari za hasubuhi ndugu wanajamiiforums Africa.

Dunia haina huruma kabisa kwa binadamu yeyote ,nimelitambua hili baada ya kutaka kuumizwa na watu niliowaeleza ukweli ofisini kwangu

Dunia ya sasa haitakiwi useme ukweli ni either uwe chawa au ukubaliane na maamuzi ya mkubwa wako hata kama sio maamuzi yenye manufaa

Kiongozi anaamini yeye ana maono na akili kubwa kuliko mtu yeyote hivyo hawezi kukosea na maamuzi yake ndio top ya mawazo yote.

Kuna viongozi wana roho za kukataliwa lakini wanatumia mabavu sana ikitokea ukasema hutufai wanakuumiza uwe mpole

Kweli Dunia haina huruma
 
Back
Top Bottom