Nataka ban ya wiki pls mod

Nataka ban ya wiki pls mod

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,628
Nimechoka nataka kupumzika nataka ban ya wiki

We Bebii nawe acha kusumbua...kama ungekua umechoka kweli wala usingehitaji sijui ban!

Nwy kama hutaki kuingia JF kwa muda uaiingie...zima sijui ni PC au simu alafu jifanye kama huvioni mpaka umalize mapumziko!

bibii wangu, najua you are so young my daughter, ukikua hautaomba ban.

We Bebii nawe acha kusumbua...kama ungekua umechoka kweli wala usingehitaji sijui ban!

Nwy kama hutaki kuingia JF kwa muda uaiingie...zima sijui ni PC au simu alafu jifanye kama huvioni mpaka umalize mapumziko!
siamini ulikuwa wapi jamani yaani uliniacha member hadi nimepanda cheo umeniona miss u a lot ila nataka kupumzika

hatimaye Leo Lizzy na bebii wako online kwa wakati mmoja.

Mmmmh "umechoka"???? naomba maelezo kidogo....maana waliochoka wote/wengi tayari wako leba (chumba cha kujifungulia) nashangaa wewe bado uko hapa

hatimaye leo lizzy na bebii wako online kwa wakati mmoja.

Kuna ubaya gani? Kwani sisi ni manesi humu kwamba mmoja akiwa off mwingine yuko wodini?

Bebii nenda kule Jakwaa la siasa kuna vichwa kavichokoze mtatakanana nadhani utapata Ban

Mwambie Robot au Super Moderator atakupa hata ya Mwaka tu,ongea nae fresh

Kwani ukipigwa ban ndo huwezi kusoma kama guest?
Mbona mi tangu asubui nilikua sija-login lakini nilikua nasoma kama kawaida?

Kuna mwingine atataka kwenda kunya afu ataomba ban ya dk 10 apa, ilmradi aanzishe thread.

We Bebii nawe acha kusumbua...kama ungekua umechoka kweli wala usingehitaji sijui ban!

Nwy kama hutaki kuingia JF kwa muda uaiingie...zima sijui ni PC au simu alafu jifanye kama huvioni mpaka umalize mapumziko!

Asee...
Can u?

kudos lizzy na option nyingine m-PM PAW halafu subiri utaona kitakachotokea..

Tishia kupindua nchi uone..

mkuu ban ya hilo swala ni kubwa na shosti bebii anataka Fresh Ban ambayo haitakuwa na madhara..

Similar Discussions

Back
Top Bottom