Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,467
anne maria and sun wu si mkabishanie wakati mkiwa mnadive, hapo ndio tutajua kama anne atateleza au vipi!
Last edited by a moderator:
I have a litle garmin, very practical. Pouwa then, let's wait for Anne to tell us where when how and who...
ahahahhaha unanipa raha sasa unaenda kuomba ruhusa kwa mama mwenye nyumba ili iweje tena,,, aahahajhajhajha.... haya nenda mie utanikuta nipo tuuuuu
Shem anajua kama unatafuta jf_mate? Isije tukaanza kupeana makonzi!
anne maria and sun wu si mkabishanie wakati mkiwa mnadive, hapo ndio tutajua kama anne atateleza au vipi!
jamani kwani huyo Boflo ndo nani mie simjui!!!!
Naenda kumuomba ruhusa ya kwenda scuba diving na mrembo mmoja hivi nione reaction yake.
OTIS
We msubiri tu atakuja! Au kama unaaccess aliweka picha anayoitamini kwenye jukwaa la kikubwa!
ahahahahaha raha sana duuuhh kumbe huwa mna adabu sana eeeehh??? haya fanya fasta mwambie afu uje eeehh ila nadhani atakufunga kengele mguuni ahahahajhajhajhajha
Okay thanks.., lets agree to disagree (for now until further notice)..., by the way I have never lost a debate (which means am sure I will win you over).., lets hope we will debate one day (if not within this life time, maybe when we are reincarnated) :smile:sun wu sun wu sun wu.... as much as i love to challenge you( which am sure i will win u over)
Ha ha haa, I never Joke with the matters of the Heart, unaweza kudhani unatania kumbe ndio unapitiliza, unadhani umepata kumbe ndio umepatikana (hususan kama mtu anataka ku-prove kwamba hii kitu haiwezekani unaweza ukajikuta feelings zinakwenda one way bila kuwa reciprocated..anne maria and sun wu si mkabishanie wakati mkiwa mnadive, hapo ndio tutajua kama anne atateleza au vipi!
Ha ha haa, I never Joke with the matters of the Heart, unaweza kudhani unatania kumbe ndio unapitiliza, unadhani umepata kumbe ndio umepatikana (hususan kama mtu anataka ku-prove kwamba hii kitu haiwezekani unaweza ukajikuta feelings zinakwenda one way bila kuwa reciprocated..
Okay thanks.., lets agree to disagree (for now until further notice)..., by the way I have never lost a debate (which means am sure I will win you over).., lets hope we will debate one day (if not within this life time, maybe when we are reincarnated) :smile:
Cheers
Do people have a choice of falling in love ?
If that was the case it would not be called Falling, but walking, getting or climbing in Love.. Falling means you have no choice you just fall (whether you like or not)
Lazima nije
hapa anaangalia comments zangu na amekaa kimya kama hajaziona
Ukiona hivyo ujue kuna kesi inanukia
OTIS
sometimes we do fall in love by choice and decision,mind you,gravitational force is not responsble for people falling in love