Anne Maria
JF-Expert Member
- Mar 22, 2012
- 399
- 98
rafiki/partner ambaye tutakua fanya mambo ya maendeleo ya kimaisha na kwenda hunting, climb milima, deep sea diving, kucheza kidari na kombolela lakini NOT fall in love..... cheers!!!!!
rafiki/partner ambaye tutakua fanya mambo ya maendeleo ya kimaisha na kwenda hunting, climb milima, deep sea diving, kucheza kidari na kombolela lakini NOT fall in love..... cheers!!!!!
Lazima awe mwanaume? naona interest zimefanana na zangu kiasi. And at least we are assured not to fall in love.
Ikitokea hivo mi nitakuja kwako, naona na wewe unapenda the same things.Labda wewe, je yeye akianguka kwa PARTNER???
Do people have a choice of falling in love ?rafiki/partner ambaye tutakua fanya mambo ya maendeleo ya kimaisha na kwenda hunting, climb milima, deep sea diving, kucheza kidari na kombolela lakini NOT fall in love..... cheers!!!!!
senk yu OTIS yeah who knows na ndo maana nikaweka wazi am not into falling in love stuff...Nani huwa anajua mwisho wa ukaribu kati ya mwanaume na mwanamke.
All the best kwenye kumsaka huyo rafiki.
OTIS
Lazima awe mwanaume? naona interest zimefanana na zangu kiasi. And at least we are assured not to fall in love.
Mmmh good luck
Mmmh good luck
Ikitokea hivo mi nitakuja kwako, naona na wewe unapenda the same things.
Do people have a choice of falling in love ?
If that was the case it would not be called Falling, but walking, getting or climbing in Love.. Falling means you have no choice you just fall (whether you like or not)
kama mnaenda hunting, nani atapika nyama mlo-hunt?
Naomba niwe mpishi na mpagazi?
Wa jinsia gani? Kama ni ya kike, me love scuba diving n hunting trips!