Wewe shida yako sawa na yangu, nimezurula Dar sijafanikiwa.habari wadau.
Nina mgonjwa wa miguu anahitaji wheel chair, wapi wanauza dar? na bei ikoje ?
Unataka kipya au used!?
Bei sifahamu kwa vyote ila kwa used nenda Karume opp na kituo cha daladala za kwenda Mbagala au baada ya daraja la Machinga complex. Vipya nenda maduka ya dawa makubwa kkoo au Nakiete Mwengehata kikiwa kipya , au mtumba nitashukuru.. niambie used vinapatikana wapi na bei gani, na vipya pia bei gani
FAFANUA zaidi wheel chair ziko za aina mbiili , zinazojiendesha zenyewe au zile za kusukumwa na mtu
Nakiete bei imesimama,nilimnunulia Bi Mkubwa Kariakoo mwezi uliopita kwa 250,000 lakini bahati mbaya hata hakukitumia akatutoka,ngoja nitafute risiti jioni nikupe contact za duka maana sikumbuki mtaa
Nakiete bei imesimama,nilimnunulia Bi Mkubwa Kariakoo mwezi uliopita kwa 250,000 lakini bahati mbaya hata hakukitumia akatutoka,ngoja nitafute risiti jioni nikupe contact za duka maana sikumbuki mtaa
Pole sana mkuu!!Nakiete bei imesimama,nilimnunulia Bi Mkubwa Kariakoo mwezi uliopita kwa 250,000 lakini bahati mbaya hata hakukitumia akatutoka,ngoja nitafute risiti jioni nikupe contact za duka maana sikumbuki mtaa
Nilikua najua zinauzwa elf 90 kumbe bei hivyo.Nakiete bei imesimama,nilimnunulia Bi Mkubwa Kariakoo mwezi uliopita kwa 250,000 lakini bahati mbaya hata hakukitumia akatutoka,ngoja nitafute risiti jioni nikupe contact za duka maana sikumbuki mtaa