Natafuta webhosters based in Tanzania

Natafuta webhosters based in Tanzania

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,764
Kama kuna mtu anafanya webhosting na ku register domain name hapa tanzania at affordable price naomba ani pm
 
Kama kuna mtu anafanya webhosting na ku register domain name hapa tanzania at affordable price naomba ani pm

Nafanya web host kwa Tsh 108,000 kwa mwaka including domain registration.
Visit www.primax.co.tz
Call me on 0767659145, 0787659145
Email. alphonce@alphonce.net
 
unataka server ambazo zinapatikana tanzania au mtu awe anauza reja reja kwa server za ughaibuni pia ni sawa
 
Back
Top Bottom