Natafuta wateja wa mbao ngumu za jumla

Natafuta wateja wa mbao ngumu za jumla

kabasele

Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
93
Reaction score
36
Habarini wandugu!

Nina uwezo wa kusupply mbao aina ya mninga (East African padauk), mkongo (Pod mahogany), mtondoro, mkurunge
Natafuta wanunuzi wa jumla kwa hapa Tanzania kuanzia cubic metre 20 nk..
Kwa mwenye uzoefu wa hili swala msaada tafadhali.

Je size 2" x 8" x 10' piece moja naweza kuuza sh ngapi (kwa jumla)?
Ni size gani nyingine zinahitajika?

Nitashukuru kwa michango yenu.
Asanteni sana.
 
naomba number yako
 
Nitafute tuzungumze 0712223243,0685589505,0769183030
 
Mbao unatoa wap mm nna soko la mkongo npgie 0784616544
 
Habarini wandugu!

Nina uwezo wa kusupply mbao aina ya mninga (East African padauk), mkongo (Pod mahogany), mtondoro, mkurunge
Natafuta wanunuzi wa jumla kwa hapa Tanzania kuanzia cubic metre 20 nk..
Kwa mwenye uzoefu wa hili swala msaada tafadhali.

Je size 2" x 8" x 10' piece moja naweza kuuza sh ngapi (kwa jumla)?
Ni size gani nyingine zinahitajika?

Nitashukuru kwa michango yenu.
Asanteni sana.
vipi ulipata soko? unauza bei gani mbao zako?
 
Back
Top Bottom