Natafuta watoto wa paka

Mkuu mbona hao viumbe wamezagaa kwenye migahawa na mahospitali? Au hao sio unaowataka
 
Kama huko dar nenda bahari beach hotel pale wapo wengi sana ..... Yaani pale utapata aliye zaliwa juzi ,Jana hata aliye zaliwa Leo utapata tena bureeee bila malipo.......!!!
 
Mkuu mbona hao viumbe wamezagaa kwenye migahawa na mahospitali? Au hao sio unaowataka
Hao wanaitwa mapaka shume hawafugiki kabisa, nilijaribu mmoja siku ile ile alitoka maana nilimfungia ndani nikakuta kachana waya wa mbu wa dirishani bila kumkuta dirishani akichana nisingeamini kwamba ni yeye
 
Back
Top Bottom