harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,918
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mkuuHao wanaitwa mapaka shume hawafugiki kabisa, nilijaribu mmoja siku ile ile alitoka maana nilimfungia ndani nikakuta kachana waya wa mbu wa dirishani bila kumkuta dirishani akichana nisingeamini kwamba ni yeye