Natafuta Wallpapers za Sebuleni

@Majigo,picha nilisafisha kwa jamaa yangu alikuwa na printer ya picha alinifanyia 1500kila picha. fremu nilinunua sh elfu tano kila moja. ila fremu za kununua nidhaifu sana. kwa hiyo fremu uliyoweka hapo ukienda kumuonyesha fundi makiniatakutengenezea tu maana nje ni mbao na huo urembo atajua jinsi ya kuweka
 
Nimekusoma mkuu!
Je huyo Rafik Yako Anaweza Akanifanyia Nami Kazi Kama Hiyo
Au Ilikuwa Ni kwa Ajiri Yako Tu?
Ahsante Mkuu!
 
ilikuwa kitambo kiogo mkuu, nilikuwa dar kwa sasa nipo moro. afu mashine yake ilishaharibika. ukitafutatafuta nafikiri unaweza ukapata sehemu ukasafisha picha kubwa kwa bei rahisi.
 
Ahsante Sana Mkuu Nimekuelewa!
 
nime fatlia nikapata duka mmoja lipo nyuma ya bilcanas posta kuna round about na sheli hilo duka lina tazamana na hiyo sheli duka linaitwa Dolson...kwa tarifa nlizo pata 1sq meter ni 30,000

Nimekuelewa mku!
Ahsante san!
 
Mkuu kama kweli we ni muhitaji nicheck kwamba hii 0785-074040 whatsap nikuunganishe na wauzaji kwenye group la Wafanyabiashara na Wajasiriamali
Karibu sanaaaa
 
Back
Top Bottom