Natafuta Wallpapers za Sebuleni

mawazoni

Member
Nov 25, 2012
27
0
Habar wana JF.

Kama kuna mtu ana idea. Natafuta duka linalouza wallpapers for walls nzuri na kwa bei rahisi ikiwezekana npate na fundi mtaalam wa kuzibandika.

Natanguliza shukran.
 
Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,506
2,000

Uko wapi mkuu
Unataka za maneno au picha?
 
mawazoni

Member
Nov 25, 2012
27
0
zipo mkuu, toa specification zako. kama vile maneno ya aina gani, michoro n.k

uploadfromtaptalk1356623158111.jpg uploadfromtaptalk1356623217908.jpg
 
mawazoni

Member
Nov 25, 2012
27
0
zipo mkuu, toa specification zako. kama vile maneno ya aina gani, michoro n.k

Znapatkana wap? Napendelea maua na michoro isiyo chosha kama pics hizo hapo juu zinavyojionyesha.
 
networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
571
225
Kuna jaama yangu anatafuta sana hizi walpaper yuko dar yeye ingekuwa vyema mkasema mahali zinapatikana ili nimdirect amezitafuta sana kila anapo enda wana shindwa muelewa anataka nini
kama wewe ni fundi au una duka au unajua sehemu wanayo uza weka namb au office location nimpe awatafute
 
Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,506
2,000
zipo mkuu, toa specification zako. kama vile maneno ya aina gani, michoro n.k

Znapatkana wap? Napendelea maua na michoro isiyo chosha kama pics hizo hapo juu zinavyojionyesha.

Wewe Si Ndio Mtafutaji?
 
Fechi

Member
Sep 3, 2012
64
95
Niliwahi kuelekezwa duka la wall papers liko posta dar opposite na petrol station iliyo karibu na bilcanas. Sijawahi kwenda though
 
georgeallen

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
3,762
2,000
Habar wana JF.

Kama kuna mtu ana idea. Natafuta duka linalouza wallpapers for walls nzuri na kwa bei rahisi ikiwezekana npate na fundi mtaalam wa kuzibandika.

Natanguliza shukran.
Nenda DECOR au wapigie , 0655768786
 
Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
14,888
2,000
ingia internet tafuta na download picha unayoipenda ila hakikisha ina resolution kubwa. baada ya hapo nenda studio kaisafishe na inunulie au ichongee fremu kulingana na rangi ya fenicha zako au rangi utayopenda. nimewahi fanya hivi na kila siku nilikuwa naziangalia utafikiri mpya. kwa size uliyoonyesha hapo juu haikufika 15000 kwa picha mbili na fremu zake gharama kubwa ilikuwa kununua fremu( (sikusafishia studio)). nakushauri uchonge fremu maana utapata rangi na utaweka urembo unaoutaka. bila kusahau picha ambayo unajua ulichoweka inafurahisha sana hata mtu akiuliza ni rahisi kumuelezea.
 
kumbe wall paper zakubandika!! mi nilijua picha za kutundika ukutani! lakini hata hii niliyoandika inaweza kusaidia kupamba nyumba.
 
networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
571
225
Habar wana JF.

Kama kuna mtu ana idea. Natafuta duka linalouza wallpapers for walls nzuri na kwa bei rahisi ikiwezekana npate na fundi mtaalam wa kuzibandika.

Natanguliza shukran.
nime fatlia nikapata duka mmoja lipo nyuma ya bilcanas posta kuna round about na sheli hilo duka lina tazamana na hiyo sheli duka linaitwa Dolson...kwa tarifa nlizo pata 1sq meter ni 30,000
 
Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,506
2,000
ingia internet tafuta na download picha unayoipenda ila hakikisha ina resolution kubwa. baada ya hapo nenda studio kaisafishe na inunulie au ichongee fremu kulingana na rangi ya fenicha zako au rangi utayopenda. nimewahi fanya hivi na kila siku nilikuwa naziangalia utafikiri mpya. kwa size uliyoonyesha hapo juu haikufika 15000 kwa picha mbili na fremu zake gharama kubwa ilikuwa kununua fremu( (sikusafishia studio)). nakushauri uchonge fremu maana utapata rangi na utaweka urembo unaoutaka. bila kusahau picha ambayo unajua ulichoweka inafurahisha sana hata mtu akiuliza ni rahisi kumuelezea.

Mkuu!
Mbona mimi nimekuuliza Kwa PM, Haujanijibu?

Mkuu Kama Umeamua Umenipotezea Ni Heri Uniambie!
 
Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
14,888
2,000
@Majigo sorry sana ndugu sijakupotezea. jana nilikuwa najibu pm yako lakini mtandao ulikuwa down nikashindwa kuapload. baadae uliporudi nikawa nimegundua kumbe post yangu ilikuwa off point. watu walikuwa wanazungumzia wall papers mi nikajibu kuhusu picha za ukutani. Ndo maana nikapost hapo juu kwamba nilichanganya mambo.nikajua ukiisoma utajua sitaweza kukujibu maana nilikuwa nimechanganya mada.pamoja sana mkuu
 
Samahani Sana Kiongozi
Kwa fikra Zangu
Nami nilikuelewa na nimependezwa sana na mbinu ulizotumia ila kuna mambo sikukuelewa maana ulisema hausafishii studio hujasema unakosafishia
Vilevile ni matirio gani ulizitumia kutengeza flem na zinapatkana wap?

Mfano Wa Msaada Niutakao Ni Kama Hivi
painting-on-the-wall-1236942367_78.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom