Natafuta wa kumroga

Nasikia wachawi wengi humu,sasa mimi namtafuta wa kumroga.Chonde chonde wakuu nina mzigo mpya toka kusini nataka kuujaribu.....tusaidiane.Ni hilo tu.
Nina hakika ungekuwa mchawi kweli usinge subiri kusikia bali ungeshawajua kwa nguvu zao tena na majina yao
Uchawi ni kitu cha kificho, kilichojaa u siri na woga hakifanywi waziwazi wala kuhubiriwa kama mkutano wa siasa
 
Why wanaufanya kwa siri na woga..?
 
Nasikia wachawi wengi humu,sasa mimi namtafuta wa kumroga.Chonde chonde wakuu nina mzigo mpya toka kusini nataka kuujaribu.....tusaidiane.Ni hilo tu.
We nae wa wapi? Unataka kuroga JF, kwan hujamsikia VANESSA MDEE anaomba kurogwa... Muanze yeye kwanza alaf uje huku
 
203352.jpg

Kwa avatar hii basi nimeshakuamini wewe mchawi!!
 
Mshana jr si kweli kwamba uchawi haukubaliki kwenye jamii,labda sema wewe huukubali.mbona una faida tele tu?
 
Halafu mkuu mshana jr,nani amekuambia uchawi ni siri siku hizi?hakuna uficho tena,hakuna woga....na hata ukiwa umefuzu hadi ngazi ya 7 huwezi kumjua mchawi kwa jina,labda kwa sura.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom