Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,870
- Thread starter
- #41
mkuu mwanyasi nashukuru,unachokitafuta utakipata.
hawajiwezi tena.........usiwatarajieWaliojitokeza waje watupe mlejesho
Dah.... Hapo hata mwaka hajafikisha mnaweweseka hivi... Akiendelea kukaza hivi baada ya miaka 5 kutakuwa na hospital za machizi Sawa na idadi ya baaNasikia wachawi wengi humu,sasa mimi namtafuta wa kumroga.Chonde chonde wakuu nina mzigo mpya toka kusini nataka kuujaribu.....tusaidiane.Ni hilo tu.
