Logo ya Ngao - Maana ya logo ya ngao

Logo ya Ngao - Maana ya logo ya ngao

Jenerali Ken

Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
35
Reaction score
77
maana ya logo ya ngao

Mlinzi shujaa nilianza mafunzo ya karate mwaka 2003 chini ya sensei bakari kabwe na sensei isa hasan, katika mkoa wa kigoma, wilaya ya kigoma mjini, mtaa wa machinjioni, kata ya ujiji, jirani kabisa na makumbusho ya dr david living stone. Pia, nilipata mafunzo ya karate katika club ya hantei shiai na club ya sabasaba shotokan club.

Vilevile nilipita kwa waalimu wengine wa karate kama vile sensei jango, sensei yahaya mgeni, sensei udu na sensei babu. Ulipo fika mwaka 2010 ndipo nikaamua kujiendeleza mimi mwenyewe kwa njia ya kusoma vitabu mbalimbali vya sanaa za vita vikiwemo vya jujitsu, kung fu, jeet kune do, unarmed combat, ninjutsu,self defense, navingine vingi nikavifanyia kazi kwa kuvisoma na kufanya mazoezi makali ambayo leo hii yamenifanya nami niwe mwalimu na muanzilishi wa ngao - self defense system .
Messenger_creation_1124747720308925.jpeg
 
Juzi nimepiga training ya Judo aah aisee move zake ni animal move lazima mwili unyumbulike safi sana
 
Juzi nimepiga training ya Judo aah aisee move zake ni animal move lazima mwili unyumbulike safi sana
Judo ni nzuri ,pia kwa ulinzi, jigoro kano alijifunza jujitsu na yeye akaanzisha judo kupitia misingi ya jujitsu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom