spangwingwi
Member
- Mar 1, 2024
- 30
- 33
Kama kichwa Cha habari kinavojieleza ukiwa ni kijana njoo tufanyie kazi. Mimi napoint viatu karume na mashati ya kiume na Sasa natafuta mtu ambaye anachukua mzigo kwangu anauza faida tunagawana nusu kwa nusu. Ishu hapa huhitaji mtaji ila inahitaji uaminifu na moyo wa kufanya kazi kutafuta wateja.
Nipo kinondoni Dar es salaam
Nipo kinondoni Dar es salaam