Natafuta ukumbi mdogo wa harusi Dar

Natafuta ukumbi mdogo wa harusi Dar

Sasa kwa mimi nisiyekuwa mnywaji niliboreka vile...
Sipatii picha wanywaji wenyewe.
Yeah...pombe zina gharama kubwa sana,huenda hutumia hata nusu ya bajeti.
Ni kweli pombe zina gharama kubwa. Harusi za kilokole unaenjoy kucheza mziki wa kilokole, sasa kama nyimbo huzijui ni kweli pa gumu.
 
Sasa kwa mimi nisiyekuwa mnywaji niliboreka vile...
Sipatii picha wanywaji wenyewe.
Yeah...pombe zina gharama kubwa sana,huenda hutumia hata nusu ya bajeti.
Kuna circle ya marafiki tunafanya zamu ya kualikana weekend, sasa mmoja wetu mlokole uchwara, ikifika zamu yake hanunui pombe anadai mlokole lakini anaetaka kunywa aje na chupa yake, ukipeleka chupa anapiga kishkaji, akialikwa kwingine tunakunywa nae. Mjini ni ujanja tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio naenda kuzungukia baadhi ya kumbi mlizonishauri, nitaleta mrejesho najua wapo wanaosubiria mrejesho
 
Mrejesho: Mpaka sasa nimeenda kumbi nne,nilianzia kanisa la roma manzese kwa kweli sikuupenda so hata sikua interested kuuliza bei,Nikaenda ukumbi wa Urafiki Social hall(zamani) zipo kumbi mbili za maana ila gharama yake ni 1.5m na 2m na mwingine wa kawaida gharama 1m,Nikaenda ukumbi wa Msewe ni mzuri kiasi na parking nzuri sana sikufanikiwa kuingia ofisini coz walikua wamefunga ila gharama zake hazizidi tsh 600k wameniambia niende saa 9 adhuhuri,Now nimetoka Lunch time hotel nao wana kumbi mbili za hadhi ya wastani bei yao ni 800k...Napumzika kidogo then nitatembelea kumbi nyingine
 
tembelea zote then anzisha uzi ukiwa na price list ya maeneo yote. hii itatusaidia tunaotarajia kuchukua majiko.
 
Ndani ya fensi ya nyumba yangu hapa Mapipa........unaeza ukapamba vizuri tu.
 
Back
Top Bottom