Natafuta ukumbi mdogo wa harusi Dar

Natafuta ukumbi mdogo wa harusi Dar

njoo DA WEST ipo Tabata, hio hela ina chenchi kibao itabaki mkuu! Kama hutaupenda kuna mingine around ya bei nzuri
 
Api Forest Upo Kimara kwa hiyo Bajeti panakufaa kabisa.Security kubwa ukumbi full AC
 
Nakutakia harusi/ndoa njema Mkuu.

Na usisahau kuzaa kwa mpango.

-Kaveli-
 
unaposema watu wachache afu unasema zaid ya 200 mi sikuelewi, maana ya ni kuanzia 201,Kuendlea hadi watu hata elfu 6 na zaim
 
Wanaruhusu pombe kwenye sherehe maana kumbi nyingi za makanisa wana masharti ya sherehe bila pombe.
Umenikumbusha nilienda kwenye harusi ya walokole nilijuta jamani!
Harusi sio harusi...japo sinywi lakini niliboreka sana.
Kila kitu kilikuwa hovyo!
Harusi ni muziki na kula vizuri...
Lakini huko ilikuwa tofauti.
 
Ni kweli na mziki ni wa kilokole, lakini sherehe ukitoa pombe utashangaa gharama inavyoshuka.
 
Ni kweli na mziki ni wa kilokole, lakini sherehe ukitoa pombe utashangaa gharama inavyoshuka.
Sasa kwa mimi nisiyekuwa mnywaji niliboreka vile...
Sipatii picha wanywaji wenyewe.
Yeah...pombe zina gharama kubwa sana,huenda hutumia hata nusu ya bajeti.
 
Back
Top Bottom