Natafuta tenda ya ujenzi

Natafuta tenda ya ujenzi

Joined
Jan 2, 2015
Posts
7
Reaction score
1
Za asubuh..natafta tenda ya ujenzi..nina krasha inayozalisha aina zote za kokoto na dust(vumbi) ikiwemo na huduma za usafirishaji kwa tipper zenye uwezo wa kubeba 20CBM,apart from that nina kila aina ya machine za kujenga na kutindua barabara na low bed za kusafirisha hivyo vifaa kama excavator n.k, pia na Kiwanda cha chuma..Karibuni sana napatikanika mwanza
 
All the best ,ila andika kwa paragraph ,itasaidia sana watu kuvutiwa kusoma ujumbe wako Mkuu.
 
Back
Top Bottom