Natafuta startup capital

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Oct 28, 2009
807
500
Habari wanajamvi,nina mpango wa kusajili kampuni ya money transfer itayodili na mpesa na mitandao mingine,shida yangu ni kwamba sina mtaji wa kuanzia,je,nikienda benki naweza kupata bila shida kwa kutegemea na idea yenyewe,pia nafanya process zipi?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,777
2,000
Habari wanajamvi,nina mpango wa kusajili kampuni ya money transfer itayodili na mpesa na mitandao mingine,shida yangu ni kwamba sina mtaji wa kuanzia,je,nikienda benki naweza kupata bila shida kwa kutegemea na idea yenyewe,pia nafanya process zipi?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mkuu una collateral security?na huu mradi unaotaka kuufaunya upo economically viable?
 
Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Oct 28, 2009
807
500
Asanteni wakuu,collateral ipo,michango yenu imenifumbua macho.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,471
1,225
Dhamana zintofautiana.. Reginald Mengi.. jina lake tu ni dhamana tosha.. wengine mara hati ya kiwanja.. nyumba ..kadi ya gari n.k... kazi ni kwako na kila la heri..
 
Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Oct 28, 2009
807
500
What if nikifungua kaofisi kamoja,then nikataka kuexpand,hapo nitaweza kukopesheka?nimefikiria kukopa kwa hawa moneylenders mbadala ie micro-finance institutions za uchochoroni,tatizo lao interest rate iko juu sana.nafanyaje wakuu?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,471
1,225
What if nikifungua kaofisi kamoja,then nikataka kuexpand,hapo nitaweza kukopesheka?nimefikiria kukopa kwa hawa moneylenders mbadala ie micro-finance institutions za uchochoroni,tatizo lao interest rate iko juu sana.nafanyaje wakuu?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
huko riba si chini ya 20% monthly.. utaumia.. anza na biashara za kawaida uyanyue mtaji au tafuta mtu mwenye hela unayohitaji ungie nae mktaba anunue hisa.. mshirikiane kutafuta kazi mnagawana faida..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom