Nimeshaumizwa sana kimapenzi kiasi cha kuamua kuachana kabisa na haya mambo ila nahitaji tu kuzaa Kwa sasa mana umri ushaanza kunitupa mkono.
Naomba mwanaume aliyetayari kunizalisha ajitokeze, awe mweupe na mrefu kiasi na awe tayari kuwa karibu nami katika kipindi chote cha kulea mimba ili niwe vizuri kisaikolojia na hivyo kutomdhuru mtoto tumboni (si lazima anihudumie kifedha ila tu awe karibu nami).
Baada ya mtoto kuzaliwa ni uamuzi wake kuwa karibu na mawanae au kumpotezea, nishajiandaa kisaikolojia kuwa single mother so sitampa mzigo wowote.
Uliye tayari kunisaidia njoo pm

Ahahaaaah...Kudonate hapo inakuaje?si kukuwekea kwenye kichupa si ndiyo?kama kukuingizia kwa namna ya kawaida ya mababu na mabibi zetu mi nipo tayari hata muda huu. We nambie tu tukutane wapi siku gani nikakukamulie. Maana mi vigezo vyako vyote ninavyo pia na akili ninazo sana so mtoto atakuwa kichwa
AqeelaKama kuowa hamtaki, mnataka tufanyaje sasa? Bora nizae mapenzi nihamishie kwa mwanangu
New quote.safi sana.hahahahaDuh! panzi kaanguka kwenye furushi la siafu..!
Njoo Pm,nipo Mkoa was Dar..Ndomana nahitaji sperms zako tu, no more
Ntazaa naw kwa mkataba..Inategemea na ulimpataje, kama ulimtafuta as I do wala hawezi fukuzana na makonda ila kama alikuja Kwa bahati mbaya basi tegemea hayo
Itakuwa ili ujibiwe utume na vocha kwanza. Vya bure gharam. Tuna na vocha ya 10000 uone kama haukujibiwa.Nimetuma ujumbe PM muda sasa sijajibiwa madam. Au foleni kubwa?
Manii ama shahawaHivi sperms kwa kiswahili zinaitwaje?? Wengine mmetuacha stand ya mwendo kasi