Natafuta soko la samaki kambale na sato

ff2ea65e1f25c707ee721e47640fe62f.jpg


Tafuta hao jamaa wananunua kambale.
 
Mie naomba kujua chakula cha kambale kinakuwaje na ni bei gani pia mahali kinapopatikana kwa Dar es salaam
 
Mi pia nataka nianze hii biashara sijui inalipa maana kwetu ifakara wengi saana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom