Natafuta soko la mazao ya Mihogo na Maharage

proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,468
1,329
Wakuu kwa mwaka huu wa kilimo nategemea kuzalisha kwa kiasi kikubwa sana zao la Mhogo kama tani 150 hivi ,na naamini hili nitarifanikisha kwa sababu nimetengeneza kikundi cha kilimo ili tuweze kufikia lengo,changamoto ipo kwenye soko endapo tutafanikisha kuvuna vizuri ,Kwa yeyote mwenye kujua soko lilipo tuwasiliane na nitamshukuru pia.
=============================

Wakuu kwa mwaka huu wa kilimo nategemea kuzalisha kwa kiasi kikubwa sana zao la Maharage kama tani 100 hivi ,na naamini hili nitarifanikisha kwa sababu nimetengeneza kikundi cha kilimo ili tuweze kufikia lengo,changamoto ipo kwenye soko endapo tutafanikisha kuvuna vizuri ,Kwa yeyote mwenye kujua soko lilipo tuwasiliane na nitamshukuru pia
 
Wakuu kwa mwaka huu wa kilimo nategemea kuzalisha kwa kiasi kikubwa sana zao la Maharage kama tani 100 hivi ,na naamini hili nitarifanikisha kwa sababu nimetengeneza kikundi cha kilimo ili tuweze kufikia lengo,changamoto ipo kwenye soko endapo tutafanikisha kuvuna vizuri ,Kwa yeyote mwenye kujua soko lilipo tuwasiliane na nitamshukuru pia.
 
Wakuu kwa mwaka huu wa kilimo nategemea kuzalisha kwa kiasi kikubwa sana zao la Mhogo kama tani 150 hivi ,na naamini hili nitarifanikisha kwa sababu nimetengeneza kikundi cha kilimo ili tuweze kufikia lengo,changamoto ipo kwenye soko endapo tutafanikisha kuvuna vizuri ,Kwa yeyote mwenye kujua soko lilipo tuwasiliane na nitamshukuru pia.
Safi sana mkuu. Soko la muhogo lipo na ni kubwa sana. Huo muhogo wako wote ambazo nahisi ni kama ekari 6 au 7 ,waweza ziuza ndani ya siku moja
 
Ninachotaka ni uhakika wa soko maana nisije nikasumbuka sana halafu ikawa kazi bure ,na kama kuna mtu anaweza kuniunganisha na mnunuzi moja kwa moja nitashukuru sana.
 
Safi sana mkuu. Soko la muhogo lipo na ni kubwa sana. Huo muhogo wako wote ambazo nahisi ni kama ekari 6 au 7 ,waweza ziuza ndani ya siku moja
Mkuu kwa uzoefu wako, ekari moja inatoa tani ngapi za muhogo?
 
Wakuu kwa mwaka huu wa kilimo nategemea kuzalisha kwa kiasi kikubwa sana zao la Mhogo kama tani 150 hivi ,na naamini hili nitarifanikisha kwa sababu nimetengeneza kikundi cha kilimo ili tuweze kufikia lengo,changamoto ipo kwenye soko endapo tutafanikisha kuvuna vizuri ,Kwa yeyote mwenye kujua soko lilipo tuwasiliane na nitamshukuru pia.
Kuna thread humu ndani itafute inayo ongelea Wachina kununua mihogo mikavu
 
HABARI.
Eka moja inatoa kuanzia tani 15-30 Ukifata kanuni nzuri ya kilimo
Mbengu nzuri ni naliendele ,Msitu Zanzibari na kiroba ndio zinafikisha ujazo huo.

LUMUBA
Asante mkuu kwa mchango wako. Nimeandaa shamba la ekari 10 masasi nataka nianze
 
HABARI,
Ni vema kaka uko huko kituo cha naliendele kina mbegu bora sana wasiliana nao.Heka kumi mkuu ukifanikiwa kuzilima vizuri ukavuna unazaidi ya milioni 50 hapo mkuu.Pambana

LUMUMBA
 
Asante sana mkuu ntafanyia kazi ushauri wako mzuri
 
Wakuu kwa mwaka huu wa kilimo nategemea kuzalisha kwa kiasi kikubwa sana zao la Maharage kama tani 100 hivi ,na naamini hili nitarifanikisha kwa sababu nimetengeneza kikundi cha kilimo ili tuweze kufikia lengo,changamoto ipo kwenye soko endapo tutafanikisha kuvuna vizuri ,Kwa yeyote mwenye kujua soko lilipo tuwasiliane na nitamshukuru pia.
Tuma sms neno JAMBO kwenda no hii 0623753016 utapata majibu muda huo huo kama ni mkulima au mnunuzi watakutafutia soko la uhakika mkuu
 
Back
Top Bottom