Hali ya uchumi ilivyp sasa wengi wamesimamisha ujenzi kwanza. Jigonge kwa contractors wa make go ya serikali au mashirika
Nimehongwa na mkeoulinunuaje maahine kabla ya kujua sokoo au umeziiba ?
Tx kwa ushauri ila ningependa sana kuuza hayo matofali huku nifanye na hio idea ulionipaMashine haziozi.... Ongeza nguvu ya mkwanja, fyatua tofali zako mwenyewe, anza kujenga nyumba za kuishi na za kibiashara( kama office ndogondogo but siziwe local esp mijini, markerts / commerial complex ndogondogo ili uchukue kodi hasa shem zisizo na masoko ama maeneo ya biashara, vilabu, stores ( maghala) ya bidhaa, na nyumba za kupangisha madonni sio walala hoi...!!) kwa kifupi jikite kwenye real estate, in long run utakua mbali sana kulinganisha na biashara ya tofali...!! Ndio utajiri wa dunia uko huku
usisikilize maneno ya watu...mm nipo kwenye sekta hii ya ujenzi...watu bado wana jenga kama zamani...sema biashara hii ya ujenzi huwa na yenyewe ina misimu yake...usisikilize maneno ya watu...nini ufanye...fanya hivi tafuta eneo ambalo shuhuri za ujenzi ndo zimeanza bado hakuja jengeka vya kutosha..kama kibaha ndani ndani..kiluvya tondoroni..makurunge..kidimu kibamba kwa uchache tu au eneo lolote unalo liona wewe halija jengeka sana.. weka ofisi yako...wapi watu wengi wanafeli..sehemu kubwa watu katika sekta hii wanafeli hawataki kutoa commision kwa watu wanao waletea wateja...ukiwa mbahiri rafiki yangu utaona matofari ya wenzio yana pitishwa mbele ya ofisi yako..nini ufanye tafuta mafundi wako kama 20..wambie wakikuletea mteja wa matofari kwenye kila tofari litakalo nunuliwa na mteja huyo utatoa shilingi 50 au 100...itategemea na wewe untka upate faida ya shilingi ngapi kwa kila tofari baada ya kutoa gharama zako..kingine hakikisha una canter yako au ya kukodi lkn maalumu kwa ajiri ya kubebea hizo tofari za wateja..tofari utakazo peleka hadi site kwa mteja zina bei yake na zile mteja atakazo amua kupeleka nwenyewe ziwe na bei yake..tafuta vijana wa kufyatua tofari uwe una walipa kwa kutwa au wa kudumu ni juu yako..pia uwe na duka la cement hapo hapo wateja wengi wanapenda kuchukua vitu kwa pamoja..yangu n hayo tuWadau naomba ushauri kwenu nataka kufungua kiwanda cha kufyatua matofali naomba mnijuze kuhusu jinsi ya kupata soko sababu mashine zote nimeshanunua tayari ss natafuta soko ntalipataje naombeni ushauri wenu
Tx kwa ushauri ila ningependa sana kuuza hayo matofali huku nifanye na hio idea ulionipa
usisikilize maneno ya watu...mm nipo kwenye sekta hii ya ujenzi...watu bado wana jenga kama zamani...sema biashara hii ya ujenzi huwa na yenyewe ina misimu yake...usisikilize maneno ya watu...nini ufanye...fanya hivi tafuta eneo ambalo shuhuri za ujenzi ndo zimeanza bado hakuja jengeka vya kutosha..kama kibaha ndani ndani..kiluvya tondoroni..makurunge..kidimu kibamba kwa uchache tu au eneo lolote unalo liona wewe halija jengeka sana.. weka ofisi yako...wapi watu wengi wanafeli..sehemu kubwa watu katika sekta hii wanafeli hawataki kutoa commision kwa watu wanao waletea wateja...ukiwa mbahiri rafiki yangu utaona matofari ya wenzio yana pitishwa mbele ya ofisi yako..nini ufanye tafuta mafundi wako kama 20..wambie wakikuletea mteja wa matofari kwenye kila tofari litakalo nunuliwa na mteja huyo utatoa shilingi 50 au 100...itategemea na wewe untka upate faida ya shilingi ngapi kwa kila tofari baada ya kutoa gharama zako..kingine hakikisha una canter yako au ya kukodi lkn maalumu kwa ajiri ya kubebea hizo tofari za wateja..tofari utakazo peleka hadi site kwa mteja zina bei yake na zile mteja atakazo amua kupeleka nwenyewe ziwe na bei yake..tafuta vijana wa kufyatua tofari uwe una walipa kwa kutwa au wa kudumu ni juu yako..pia uwe na duka la cement hapo hapo wateja wengi wanapenda kuchukua vitu kwa pamoja..yangu n hayo tu
Nimehongwa na mkeo
pole sana Tanzania yangu. hii ndio lugha stahiki ya mfanyabiashara. kumbuka, 'Charity begins at home'Nimehongwa na mkeo
google helper said: ↑
ulinunuaje maahine kabla ya kujua sokoo au umeziiba ?
Nimehongwa na mkeo
Nimemjibu kutokana na swali alivyouliza na kwenye biashara kuna kitu kinaitwa "fear of loss" ambayo kanuni yake ni triple B wanasema build, break then build hapo ndo nimeiapply iopole sana Tanzania yangu. hii ndio lugha stahiki ya mfanyabiashara. kumbuka, 'Charity begins at home'
Wangapi wananunua gari wakiwa c madereva? Ila katika tathmini yng niliopiga nimeona ni biashara yenye faida ndo maana nikaamua niifanyeKwa aina hii ya majibu, sishangai uliwezaje kununua mashine wakati hujui utafanyaje biashara...
ShukranKaribu Chanika
Swali la kutia hasira budi lijibiwe na jibu la kuzua ghadhabu...pole sana Tanzania yangu. hii ndio lugha stahiki ya mfanyabiashara. kumbuka, 'Charity begins at home'
Duh!!!Nimehongwa na mkeo