Natafuta soko la kitunguu maji niko arusha

Natafuta soko la kitunguu maji niko arusha

Clerk_son

Member
Joined
Oct 18, 2017
Posts
23
Reaction score
30
Kutokana na mawazo ya watu wengi na kuamasishwa na clouds tv nikaamua kufanyia kazi mawazo yao yakutafta fursa

Niliamua kuingia kwenye kilimo cha kitunguu pamoja Changamoto nyingi nimekutana nazo lakin namshukulu mungu nimefikia hapa lakin natafuta soko mtu wakununua au kuniunganisha ili niweze kuuza
[HASHTAG]#0629593861[/HASHTAG]


Natanguliza shukrani zangu Zazati
 
Back
Top Bottom