usatrumpjr
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 2,237
- 2,900
S5 kwa iyo bei ndugu yangu na kwa hayo masharti uliyoweka ukipata njoo uniuzie mm kwa mia 5 asee iyo bei ya s3 labda
weka risiti mkuu tuone hyo bei utakua umetusaidia na sisiNimeshapata bob tena 32 GB
Njoo nikupe nimeshaipata sikupi kwa 500 nakupa kwa 400 tu mzee full finger prints, 32GB, 6.1 android version.S5 kwa iyo bei ndugu yangu na kwa hayo masharti uliyoweka ukipata njoo uniuzie mm kwa mia 5 asee iyo bei ya s3 labda
Nipe kama dk 30 nifike home bossweka risiti mkuu tuone hyo bei utakua umetusaidia na sisi
Basi endelea kuitumia bnaNjoo nikupe nimeshaipata sikupi kwa 500 nakupa kwa 400 tu mzee full finger prints, 32GB, 6.1 android version.View attachment 487148
Hahaha mzee unabip, ukipigiwa unakimbiaBasi endelea kuitumia bna

M nafurahi ww kuipata kwa iyo bei maana uyo aliekuuzia kakusaidia kurudi huku kwl maisha yashakua magumu mtaani bnaHahaha mzee unabip, ukipigiwa unakimbia![]()
We njoo ununue kwangu mimi nikanunue pale, nimegundua hii inaweza kuwa fursa.Duka gani ilo umepata nami nikachukue
We njoo ununue kwangu mimi nikanunue pale, nimegundua hii inaweza kuwa fursa.Duka gani ilo umepata nami nikachukue
acha dharau ndezi weweHiyo hela kanunue tekno
Hahaha kweli hizi dharauacha dharau ndezi wewe
kwani S4 ina shida gani..dah maishani tupo tofauti sana.Natumia s4 sasa siwezi rudi nyuma nataka kwenda mbele
hahaha mzee super nova wewe saa hizi utapenda kumiliki simu zile phlips ili hali umeshakuwa na huawei ascend 300?kwani S4 ina shida gani..dah maishani tupo tofauti sana.
jikune unapofikia usitake makuu..
Onyesha risiti nikurushie bando la 10 elfu..Njoo nikupe nimeshaipata sikupi kwa 500 nakupa kwa 400 tu mzee full finger prints, 32GB, 6.1 android version.View attachment 487148
Tena we ndo mbishi niliekuwa nakutafuta, ngoja nikutumie unitumie hio pesaOnyesha risiti nikurushie bando la 10 elfu..