Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,845
- 2,058
- Thread starter
- #81
Rejea Thread sikusema nataka simu mpya!Namaanisha bei za simu mpya Mwanza ni rahisi zaidi kuliko used jf... so huna haja ya kutafuta jf.. nenda moja kwa moja dukani kuna bei nafuu zaidi.