Habari zenu wakuu?
Mimi ni kijana ninayehitaji kujifunza udereva wa magari, hivyo naomba mwenye kufahamu sehemu yeyote wanaotoa mafunzo haya anisaidie kwani ninahitaji kuwa dereva mzuri lakini paka sasa sina uelewa wowote wa jambo hilo.
Sehemu :- nipo wilaya ya Ubungo, Dar-es-Salaam.
Muda:- Kwa siku za kazi napatikana kuanzia saa kumi jioni, siku za 'weekend' kuanzia saa sita mchana.
Natanguliza shukrani.