Kuzunguka eneo la IFM kuna barabara tatu kubwa. Barabara ya Tanga, pembeni kote kumejaa, labda umng`oe mtu, hapo andaa kama 5m kwenda juu ili upate barabarani, line ya nyuma ni chuo. Barabara ya Bagamoyo kuanzia Msata mpaka Kiwangwa imejaa kabisa, ila waweza kumng`oa mtu, opposite na chuo kabisa eka moja line ya pili inacheza 2m kwenda juu. Line ya kwanza mafisadi walishagawana zamani.
Kuna barabara ya upande wa Machweo, inaingia Madesa na Mkoko, kwa mara ya mwisho eka iliuzwa 1m ya usoni na chuo, line ya pili ilitembea kwa laki tano. Upande wa nyuma wa chuo, huko hata laki tano unapata eka moja, shida miundo mbinu kama maji na umeme. Mashamba yaliyo nje ya eneo la chuo tunanunua kwa laki tatu.
Njia ya Bagamoyo, maji na umeme wameweka, njia ya Madesa maji yapo bado umeme.
Kama unaweza kwa bei hizi sema nikupe simu ya katibu wa kamati ya ardhi ya kijiji. Wakati wa kununua kamati nzima inafika shamba na unazunguka nao, kila mmoja analipwa 30,000/ kisha kwa pamoja wanasaini. VEO anapelekewa document na ten percent. Hakuna longo longo.
Ahsante sana mkuu kwa hii taarifa,mimi sio mwenyeji sana huko ila naomba unishauri kitu kimoja japo najua nahitajika kwenda kuona eneo husika,mimi nia na dhumuni ni kupata eneo karibu na chuo kwa ajili ya biashara in future,hilo eneo la usoni na chuo ambapo ekari ni 1M kwa mtazamo wako litafaa kwa hili dhumuni langu?
I see, asante Malila, nitafika pande hizo karibuni nipe contacts za hao watendaji au pm kama unaona watasumbuliwa. Maeneo ya vyuo ni muhimu huduma hazikosekani na pia biashara zinalipa. Barikiwa sana
Linafaa,
Hata mimi nimechukua upande huo huo wa machweo ya jua. Hata staff wa IFM walikuwa wanatafuta eka 200 upande ule ule kwa ajili ya makazi. Sijui wameishia wapi. Ila sio usoni kwa njia ya kwenda bagamoyo, huko kumejaa kabisa mkuu.
Wakuu natafuta shamba la kununua lenye ukubwa usiopungua hekari 30, kwa ajili ya project yangu ya kilimo mwaka ujao ninayotegemea kuifanya nje kidogo ya jiji la Dar es Salam, shamba hilo naomba liwe na sifa zifuataazo:
- Liwe na ardhi yenye rutuba kwa ajili ya kilimo hususani mahindi
- Liwe eneo lenye water-table iliyo karibu, eneo ambalo nikichimmba kisima cha ku-drill nitapata uhakika wa maji kuanzia lita 5,000 kwa siku, na iwe ni kwa mwaka mzima.
- Liwe pembezoni mwa mji lakini umbali usizidi km 50 kutoka Dar es Salaam.
- Liwe linafikika kwa urahisi kwa gari kwa ajili ya kusafirisha mazao yangu kutoka shambani
- Uwepo wa umeme japo si muhimu sana
Kwa mwenye kuwa nalo au yeyote mwenye kuuza naomba tuwasiliane hapa au kwa PM hususani kwa mambo kama bei, vibali na location.
Natanguliza shukrani
Mkuu nimefuatilia hii kitu imenistusha sana aiseee
Hekari moja ya ardhi inaweza kulisha ng'ombe zaidi ya 500 wa maziwa kila siku kwa mwaka mzima(non stop daily).
Nimeshangaa sana aisee,hii technology imeshafika mpaka Kenya na wako tayari kuoa training kwa mtu yeyote kwa gharama ya Ksh 1500 around Tsh 30,000 na wako tayari kukupeleka mpaka site ukafanya kwa vitendo.
Ni teknolojia simplena nafuu sana hasa kwenye maeneo ya maji na uhaba wa ardhi aisee
Bado nafuatilia, nimejaribu kuwasiliana nao kwa email nafikiri watanijibu soon, ili nipate details nyingi zaidi
Ila naona hii kitu inawezekana sana hasa hapa Bongo.
Nikipata details zote na training yao ntamwaga hapa jamvini data zote ili kila mtu afaidike
Shukrani sana kwa moyo wako mkuu hasa kwa kunipigisha hatua katika ndoto yangu ya kumiliki kiwanda cha maziwa soon.
Wakuu natafuta shamba la kununua lenye ukubwa usiopungua hekari 30, kwa ajili ya project yangu ya kilimo mwaka ujao ninayotegemea kuifanya nje kidogo ya jiji la Dar es Salam, shamba hilo naomba liwe na sifa zifuataazo:
- Liwe na ardhi yenye rutuba kwa ajili ya kilimo hususani mahindi
- Liwe eneo lenye water-table iliyo karibu, eneo ambalo nikichimmba kisima cha ku-drill nitapata uhakika wa maji kuanzia lita 5,000 kwa siku, na iwe ni kwa mwaka mzima.
- Liwe pembezoni mwa mji lakini umbali usizidi km 50 kutoka Dar es Salaam.
- Liwe linafikika kwa urahisi kwa gari kwa ajili ya kusafirisha mazao yangu kutoka shambani
- Uwepo wa umeme japo si muhimu sana
Kwa mwenye kuwa nalo au yeyote mwenye kuuza naomba tuwasiliane hapa au kwa PM hususani kwa mambo kama bei, vibali na location.
Natanguliza shukrani
Tuna shamba Kinyerezi. Huenda likakufaa.
Tuwasiliane kwa simu namba 0784342632.
Siku njema
Mashamba yanauzwa Kisarawe.
Bei kwa ekari moja ni Tshs. 1.5m (Milioni moja na nusu).
Kuna umbali wa kilomita 60 kutoka Ubungo.
Mashamba yamepimwa ila bado hati.
Kuna jumla ya ekari 267.
Maji yapo ya visima vya kuchimba ardhini.
Barabara inapitika vizuri.
Wateja ni wengi. Wahi usije kujilaumu baadaye.
Wasiliana na Oswald kwa simu namba 0784342634 au 0767342632
Au E-mail : cosiastore@yahoo.fr
Shamba lenye sifa zote hizo lipo Kiwangwa km 35 kutoka Bagamoyo (Barabara ya Bagamoyo-Msata),kama uko serious tuwasiliane 0784548641Wakuu natafuta shamba la kununua lenye ukubwa usiopungua hekari 30, kwa ajili ya project yangu ya kilimo mwaka ujao ninayotegemea kuifanya nje kidogo ya jiji la Dar es Salam, shamba hilo naomba liwe na sifa zifuataazo:
- Liwe na ardhi yenye rutuba kwa ajili ya kilimo hususani mahindi
- Liwe eneo lenye water-table iliyo karibu, eneo ambalo nikichimmba kisima cha ku-drill nitapata uhakika wa maji kuanzia lita 5,000 kwa siku, na iwe ni kwa mwaka mzima.
- Liwe pembezoni mwa mji lakini umbali usizidi km 50 kutoka Dar es Salaam.
- Liwe linafikika kwa urahisi kwa gari kwa ajili ya kusafirisha mazao yangu kutoka shambani
- Uwepo wa umeme japo si muhimu sana
Kwa mwenye kuwa nalo au yeyote mwenye kuuza naomba tuwasiliane hapa au kwa PM hususani kwa mambo kama bei, vibali na location.
Natanguliza shukrani
Kk malila nami nahitaji eneo huko miono naomba msaada wko bei na usalama ni pm plz
Mkuu, MalilaNilikuwa shamba ndo maana sikuiona hii meseji yako. Nimekupm
Mkuu, Malila
Naomba unisaidie kwa uelewa wako,na mwingine yeyote ambaye ni mwelewa.
Je kuna mbegu za kisasa za maharage au ni kwa mahindi tu na mazao mengine.
Unaonaje hali ya hewa ya mkoa wa Manyara kwa kilimo cha maharage,maana nina wazo la kutafuta mashamba ya kukodi huko Manyara,na nataka msimu ujao nipande nilime maharage yenyewe bila mchanganyiko wa zao lolote lingine,nimeamua nipande maharage kwa vile ni zao la mda mfupi iwapo kutakuwa na upungufu wa mvua.
Je kwa uzoefu wako,hekari moja ya maharage kwenye mavuno unaweza kupata gunia ngapi?