Natafuta shamba la kununua

Fuga Kisasa

Senior Member
Jan 16, 2016
165
91
Habari zenu wakuu,

Ninahitaji shamba la eka tatu kwaajili ya kufugia.

SIFA ZA SHAMBA
1. Shamba hilo liwe linapatikana Mkuranga
2. Eneo lilopo shamba liwe na maji ya kutosha nikichimba kisima nipate maji kwa urahisi
3. Eneo hilo lisiwe na wezi wa mifugo

Kama unashamba maeneo hayo tafadhali ni PM tuongee biashara.
 
Shamba lipo lenye ukubwa wa eka 100 na zaidi, manunuzi ni uwezo wako.
 
Shamba lipo lakini si Mkuranga mbele ya Mkuranga kijiji kinaitwa Kilimbwanindi lipo kando kando ya mto maji ya kutosha sana ila lina heka 12. Kama utapendezewa ni pm tuongee Zaidi.
Nahitaji Mkuranga mkuu
 
Shamba lipo lakini si Mkuranga mbele ya Mkuranga kijiji kinaitwa Kilimbwanindi lipo kando kando ya mto maji ya kutosha sana ila lina heka 12. Kama utapendezewa ni pm tuongee Zaidi.

Bei gani kwa heka?
 
Lina hati? Hiko kijiji kiko umbali gani kutoka barabara ya lami?
Weka mawasiliano tukutafute...
 
Shamba halina hati kijiji kiko barabarani ni kati ya vituo kabla hujafika Kimanzichana ila shamba liko ndani kama mita 500. Kwa mawasiliano Zaidi 0716 317555.
 
Mashamba kama hayo ukicheki cordinates unakuta lipo open space au kiwanja cha shule,usiende nayo kichwakichwa
 
Back
Top Bottom