real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,303
Habari wadau wa JamiiForums,
Ee bana mimi natafuta shamba la kukodi heka moja liwe karibu na chanzo cha kudumu cha maji kwa ajili ya kufanya kilimo cha umwagiliaji.
Eneo linatakiwa liwe na udongo tifutifu au kichanga iliyochanganya na tifutifu.
Kwa mwenye nalo au anayejua mwenye nalo ani PM plz.
Mrejesho:shamba nimeshapata, ila uzi unaweza ukaendelea kwa manufaa ya wengine pia
thanks