Natafuta shamba la kukodi Iringa, Morogoro au Pwani

Natafuta shamba la kukodi Iringa, Morogoro au Pwani

Unakodisha shillingi ngap kwa hekari ndugu
EBA MAONO KAJA, post: 15777035, member: 191117"]Ndugu ulishapata shamba iringa?
Kama bado ninayo mashamba lupembe njombe naweza kukukodishia.
Unahitaji hekari ngapi?[/QUOTE]
Unakodisha
 
Mkuu eneo litakodishwa kwa laki tatu,

Eneo nizuri na ardhi ni nzuri na lipo pahala pazuri .

Katika eneo wapo Mbwa wakali wawili waulinzi yuko kijana wangu anaishi hapo . Nimejenga mabanda manne na choo mtu anaweza lala hapo hapo au kuhifadhia mazao nimeweka umeme wajua. Pia ukihitaji tunaweza kuzungumza kuhusu chumba.

Kuhusu matumizi ya maji Pandisha kiwango chochote kwa matumizi yako Ya umwagiliaji au unganisha irrigation system hadi shambani kwako .

Eneo lako nitafunga waya ili kuku wasiingie kukuharibia .

Kama unaswali uliza tena.

mkuu naomba unicheki
 
Back
Top Bottom