Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,101
- 34,053
Nyenye nyenyenye nyenyenye.....Astaghafirurah
Nyenye nyenyenye nyenyenye.....Astaghafirurah
Anzisha mwenyewe kwanza...biashara ikiwa inalipa...will be easier to attract new investorsHabari wadau.
Mimi ni Mtanzania niliyebahatika kupata elimu katika nchi mbalimbali za Bara la Ulaya. Baada ya kumaliza elimu yangu nimerejea nchini kujenga taifa.
Kufuatia changamoto ya ajira nimeonelea nichukua route ya kujiajiri. Baada ya kufanya utafiti wa kina, nimejiridhisha kuwa mradi wa Ufugaji wa Nguruwe kibiashara (Commercial Piggery Project) unaweza lipa katika muda mfupi.
Lengo langu sio tu kufuga Nguruwe, bali kufuga na kuongezea thamani bidhaa nitakazizozalisha ili kuuza bidhaa hizo Kwenye upper-end market.
Nafahamu wapo watanzania wenye mitaji ila hawana muda wa kufanya mradi wa aina hii. Mimi nina ardhi kubwa kando ya mto Ruvu, access ya kupata soko zuri na elimu ya kutosha ambayo ninatarajia kuitumia katika mradi huo.
Hivyo nakaribisha wenye mitaji ya hali (Relevant education) na Mali (Fedha) ktk kufanikisha mradi huu.
Mambo yote yataenda kisomi/kisheria.
Karibuni sana
Achana nao.huu uzi ni haramu
Kiingereza cha nini sasa hapa jamani??!!.I agree with your crowdfunding strategy .... you need a starting point .... can be a 'project brief' comprising project objective, Location of the project, financing plan, needed capital, project products, the market and environmental affairs
someone will read a nutshell of the business plan in few minutes
Sidhani km anaweza kutaja hapa.Baba hebu sema, hadi sasa una sh. Ngapi na ww unahitaji sh. Ngapi ili ku initiate project
Contact zako zipo wapi ndugu! Wazo zuri!Habari wadau.
Mimi ni Mtanzania niliyebahatika kupata elimu katika nchi mbalimbali za Bara la Ulaya. Baada ya kumaliza elimu yangu nimerejea nchini kujenga taifa.
Kufuatia changamoto ya ajira nimeonelea nichukua route ya kujiajiri. Baada ya kufanya utafiti wa kina, nimejiridhisha kuwa mradi wa Ufugaji wa Nguruwe kibiashara (Commercial Piggery Project) unaweza lipa katika muda mfupi.
Lengo langu sio tu kufuga Nguruwe, bali kufuga na kuongezea thamani bidhaa nitakazizozalisha ili kuuza bidhaa hizo Kwenye upper-end market.
Nafahamu wapo watanzania wenye mitaji ila hawana muda wa kufanya mradi wa aina hii. Mimi nina ardhi kubwa kando ya mto Ruvu, access ya kupata soko zuri na elimu ya kutosha ambayo ninatarajia kuitumia katika mradi huo.
Hivyo nakaribisha wenye mitaji ya hali (Relevant education) na Mali (Fedha) ktk kufanikisha mradi huu.
Mambo yote yataenda kisomi/kisheria.
Karibuni sana
Contact zako zipo wapi ndugu! Wazo zuri!
Unaamini vipi kua unayemu-adress anaamini katika huyo Bwana Yesu unayemuabudu?Kufuga kitimoto ni wazo zuri??!!, wanyama ambao kwao Bwana Yesu aliwatupia mapepo kwa sababu aliwaona hawafai kuliwa na binadamu bali wanafaa kuwa nyumba ya mapepo
(The abodes for bad spirits).
Unaamini vipi kua unayemu-adress anaamini katika huyo Bwana Yesu unayemuabudu?
Mimi ninaongelea madhara yaliyothibitishwa kisayansi baada ya Mungu ambaye ndiye mwanasayansi mkubwa kuliko wote kutamka katika vitabu vyake kuwa mtu kula nyama ya nguruwe ni haramu (haitakiwi).
Mkuu, mimi naona unatafuta njia ya kubadilisha mjadala tu, kwani mjadala mkuu ni uharamu na madhara ya kula nyama ya nguruwe basi.
Nashangaa umeugeuza huu mjadala kuwa mahakama ya kuhukumu makosa,.sasa kama nilitenda au sijatenda au wewe kufanya au kutofanya hayo makosa hiyo inabatilisha vipi uharamu wa kula nyama ya nguruwe ??--- ukweli utabaki palepale kwamba Mungu katukataza kula nyama ya nguruwe kwa sababu inayo madhara mabaya kwetu ("acute diverse effects"). na moja ya madhara ni kuambukizwa "USHOGA" homo-sexuality kwa wanaume.
Peleka nadharia zako huko hapa watu wanajadili fursa
Mkuu kwanini usianzishe thread yako unaharibu hii thread
Uzi ushavamiwa na wavaa kobazi huu...
Bila shaka wewe ni wale wasabato masalia,upo airport unategemea kwenda ulaya pasipo viza.Hata hio biblia yenyewe huijui unaleta blabla tu,rudi shule.Bwana Yesu hakujua kama nguruwe ni fursa?!, au wewe unamzidi Yesu aliyemuona Nguruwe ni Dampo la kutupia Mapepo (bad spirits)??!,
Mimi ninajaribu kuwajulisha wale wanaohitaji kujua tu ili wasidhurike kwa kula kitimoto au wasiwadhuru wengine kwa kufuga na kuuza kitimoto.
Kama hujui kitimoto na Fisi hawana tofauti kwasababu Mungu amewaleta kufanya kazi ya kula takataka (scavenging) na ndiyo maana watu waliokula nyama ya Fisi na nguruwe wanasema nyama ya Fisi inafanana sana na nyama ya nguruwe.
Sasa tafuta fursa ya kuuza Fisi pia.
rudi shule