Natafuta Serious Partner wa Kuanzisha Mradi Mkubwa Wa Nguruwe Tanzania

Habari wadau.

Mimi ni Mtanzania niliyebahatika kupata elimu katika nchi mbalimbali za Bara la Ulaya. Baada ya kumaliza elimu yangu nimerejea nchini kujenga taifa.

Kufuatia changamoto ya ajira nimeonelea nichukua route ya kujiajiri. Baada ya kufanya utafiti wa kina, nimejiridhisha kuwa mradi wa Ufugaji wa Nguruwe kibiashara (Commercial Piggery Project) unaweza lipa katika muda mfupi.

Lengo langu sio tu kufuga Nguruwe, bali kufuga na kuongezea thamani bidhaa nitakazizozalisha ili kuuza bidhaa hizo Kwenye upper-end market.

Nafahamu wapo watanzania wenye mitaji ila hawana muda wa kufanya mradi wa aina hii. Mimi nina ardhi kubwa kando ya mto Ruvu, access ya kupata soko zuri na elimu ya kutosha ambayo ninatarajia kuitumia katika mradi huo.

Hivyo nakaribisha wenye mitaji ya hali (Relevant education) na Mali (Fedha) ktk kufanikisha mradi huu.

Mambo yote yataenda kisomi/kisheria.

Karibuni sana
Anzisha mwenyewe kwanza...biashara ikiwa inalipa...will be easier to attract new investors
 
I agree with your crowdfunding strategy .... you need a starting point .... can be a 'project brief' comprising project objective, Location of the project, financing plan, needed capital, project products, the market and environmental affairs

someone will read a nutshell of the business plan in few minutes
Kiingereza cha nini sasa hapa jamani??!!.
 
Habari wadau.

Mimi ni Mtanzania niliyebahatika kupata elimu katika nchi mbalimbali za Bara la Ulaya. Baada ya kumaliza elimu yangu nimerejea nchini kujenga taifa.

Kufuatia changamoto ya ajira nimeonelea nichukua route ya kujiajiri. Baada ya kufanya utafiti wa kina, nimejiridhisha kuwa mradi wa Ufugaji wa Nguruwe kibiashara (Commercial Piggery Project) unaweza lipa katika muda mfupi.

Lengo langu sio tu kufuga Nguruwe, bali kufuga na kuongezea thamani bidhaa nitakazizozalisha ili kuuza bidhaa hizo Kwenye upper-end market.

Nafahamu wapo watanzania wenye mitaji ila hawana muda wa kufanya mradi wa aina hii. Mimi nina ardhi kubwa kando ya mto Ruvu, access ya kupata soko zuri na elimu ya kutosha ambayo ninatarajia kuitumia katika mradi huo.

Hivyo nakaribisha wenye mitaji ya hali (Relevant education) na Mali (Fedha) ktk kufanikisha mradi huu.

Mambo yote yataenda kisomi/kisheria.

Karibuni sana
Contact zako zipo wapi ndugu! Wazo zuri!
 
Contact zako zipo wapi ndugu! Wazo zuri!

Kufuga kitimoto ni wazo zuri??!!, wanyama ambao kwao Bwana Yesu aliwatupia mapepo kwa sababu aliwaona hawafai kuliwa na binadamu bali wanafaa kuwa nyumba ya mapepo
(The abodes for bad spirits).
 
Kufuga kitimoto ni wazo zuri??!!, wanyama ambao kwao Bwana Yesu aliwatupia mapepo kwa sababu aliwaona hawafai kuliwa na binadamu bali wanafaa kuwa nyumba ya mapepo
(The abodes for bad spirits).
Unaamini vipi kua unayemu-adress anaamini katika huyo Bwana Yesu unayemuabudu?
 
Unaamini vipi kua unayemu-adress anaamini katika huyo Bwana Yesu unayemuabudu?

Kama angalikuwa hamuamni bila shaka angalisema kuwa hamuamini, lakini wahenga wanasema; "a silence implies consent".

Kukaa kwake kimya ni ishara kwamba anamuamini ila anampuuzia.
 
Mkuu kwanini usianzishe thread yako unaharibu hii thread
Mkuu, mimi naona unatafuta njia ya kubadilisha mjadala tu, kwani mjadala mkuu ni uharamu na madhara ya kula nyama ya nguruwe basi.

Nashangaa umeugeuza huu mjadala kuwa mahakama ya kuhukumu makosa,.sasa kama nilitenda au sijatenda au wewe kufanya au kutofanya hayo makosa hiyo inabatilisha vipi uharamu wa kula nyama ya nguruwe ??--- ukweli utabaki palepale kwamba Mungu katukataza kula nyama ya nguruwe kwa sababu inayo madhara mabaya kwetu ("acute diverse effects"). na moja ya madhara ni kuambukizwa "USHOGA" homo-sexuality kwa wanaume.
 
Peleka nadharia zako huko hapa watu wanajadili fursa

Bwana Yesu hakujua kama nguruwe ni fursa?!, au wewe unamzidi Yesu aliyemuona Nguruwe ni Dampo la kutupia Mapepo (bad spirits)??!,

Mimi ninajaribu kuwajulisha wale wanaohitaji kujua tu ili wasidhurike kwa kula kitimoto au wasiwadhuru wengine kwa kufuga na kuuza kitimoto.

Kama hujui kitimoto na Fisi hawana tofauti kwasababu Mungu amewaleta kufanya kazi ya kula takataka (scavenging) na ndiyo maana watu waliokula nyama ya Fisi na nguruwe wanasema nyama ya Fisi inafanana sana na nyama ya nguruwe.

Sasa tafuta fursa ya kuuza Fisi pia.
 
Mkuu kwanini usianzishe thread yako unaharibu hii thread

Mkuu, mimi siharibu hii thread, ninajaribu kuwatahadharisha watu madhara ya nyama ya nguruwe, maana yake ni kwamba madhara yake ni makubwa kuliko faida na lazima niandikie hapa kwasababu hapa ndipo nitawapata wahusika wa mambo ya nguruwe, wewe unataka kuanzisha biashara halafu unaiweka vichochooni nani atakuja kununua huko?? nilazima uiweke pale ambapo watu wataona na kuvutiwa nayo na hapa ndipo panafaa kuwaelezea watu juu ya madhara ya nyama ya nguruwe ili tuokoe watu kama si wewe basi mtoto au mjukuu wako kwa sababu wewe ni very much addictive to pork na hauwezi kuacha kula, (nionavyo).
 
Nashukuru kwa bandiko hili, bila shaka utafanikiwa vizuri kabisa,

Ninawazo la kufuga nguruwe, eneo tayari ninalo kama ekari moja lipo nje ya mji kiasi, na tayari nimeanza kujenga kibanda changu then nifuate mabanda ya nguruwe.

Nafikiri kuanza na nguruwe 5 tuu ili nijifunze na kuona namna ya kufanya expansion. Nime subscribe huu Uzi naamini nitajifinza zaidi nitakapo anza kazi hii rasmi.

Nimeona maoni na changamoto nyingi ambazo marafiki wametoa, ushauri zisikuvunje moyo bali zikuimarishe
 
Bwana Yesu hakujua kama nguruwe ni fursa?!, au wewe unamzidi Yesu aliyemuona Nguruwe ni Dampo la kutupia Mapepo (bad spirits)??!,

Mimi ninajaribu kuwajulisha wale wanaohitaji kujua tu ili wasidhurike kwa kula kitimoto au wasiwadhuru wengine kwa kufuga na kuuza kitimoto.

Kama hujui kitimoto na Fisi hawana tofauti kwasababu Mungu amewaleta kufanya kazi ya kula takataka (scavenging) na ndiyo maana watu waliokula nyama ya Fisi na nguruwe wanasema nyama ya Fisi inafanana sana na nyama ya nguruwe.

Sasa tafuta fursa ya kuuza Fisi pia.
Bila shaka wewe ni wale wasabato masalia,upo airport unategemea kwenda ulaya pasipo viza.Hata hio biblia yenyewe huijui unaleta blabla tu,rudi shule.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom