Natafuta Serious Partner wa Kuanzisha Mradi Mkubwa Wa Nguruwe Tanzania

Loxodona

Member
Joined
Apr 3, 2019
Messages
57
Points
150

Loxodona

Member
Joined Apr 3, 2019
57 150
Habari wadau.

Mimi ni Mtanzania niliyebahatika kupata elimu katika nchi mbalimbali za Bara la Ulaya. Baada ya kumaliza elimu yangu nimerejea nchini kujenga taifa.

Kufuatia changamoto ya ajira nimeonelea nichukua route ya kujiajiri. Baada ya kufanya utafiti wa kina, nimejiridhisha kuwa mradi wa Ufugaji wa Nguruwe kibiashara (Commercial Piggery Project) unaweza lipa katika muda mfupi.

Lengo langu sio tu kufuga Nguruwe, bali kufuga na kuongezea thamani bidhaa nitakazizozalisha ili kuuza bidhaa hizo Kwenye upper-end market.

Nafahamu wapo watanzania wenye mitaji ila hawana muda wa kufanya mradi wa aina hii. Mimi nina ardhi kubwa kando ya mto Ruvu, access ya kupata soko zuri na elimu ya kutosha ambayo ninatarajia kuitumia katika mradi huo.

Hivyo nakaribisha wenye mitaji ya hali (Relevant education) na Mali (Fedha) ktk kufanikisha mradi huu.

Mambo yote yataenda kisomi/kisheria.

Karibuni sana
 
Mokaze

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Messages
3,518
Points
2,000

Mokaze

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2018
3,518 2,000
Okay mtafiti.

Mkuu Loxodona, unaweza kuona hichi ninachosema kama mzaha, lakini hakika siyo mzaha na wala kusudi langu si kukejeli wale wanaokula kitimoto kusudi ni kuwajuza with due respect juu ya hatari inaweza kuwakumba "in the long run"--- Mungu kukataza kula kitimoto kuna hekima kubwa na hiyo ndiyo hekima yake mkuu.

πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,229
Points
2,000

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,229 2,000

Mokaze unahabari potofu kumuhusu nguruwe hana madhara sijui ya ushoga n.k

Ngozi ya nguruwe hutumika kama gamba la Capsules mbalimbali ikiwemo Amoxyline na dawa zinazofanana nazo yani kama wewe umeshawahi kumeza dawa yenye gamba basi nguruwe umemla.

Na kuna tafiti inaendelea UK na Russia ziko katika hatua za mwisho za nguruwe kutumika kutibu Brain cancer na breast cancer sasa sijui mtafanyaje kama tu kwenye vidonge mnamla
 
Mkuu, kaa utulie na usome post #97.

Na hiyo ndiyo kazi ya nguruwe kwa binadamu, in this case the pig is purely guinea pig and that's a big reason for whuch they were created by God.

Nguruwe na panya ni wanyama wazuri sana kwa kutumiwa kufanyia tafiti za awali za madawa ya binadamu.

Kwani Kutumia viungo vya nguruwe katika miili ya binadamu si sawa na kula nyama yake??, hebu chukuwa mfano mtu anapopandikizwa figo je ni sawa tukisema huyo aliyepandikizwa kala figo la binadamu??.
 
The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
658
Points
1,000

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2017
658 1,000
Habari wadau.

Mimi ni Mtanzania niliyebahatika kupata elimu katika nchi mbalimbali za Bara la Ulaya. Baada ya kumaliza elimu yangu nimerejea nchini kujenga taifa.

Kufuatia changamoto ya ajira nimeonelea nichukua route ya kujiajiri. Baada ya kufanya utafiti wa kina, nimejiridhisha kuwa mradi wa Ufugaji wa Nguruwe kibiashara (Commercial Piggery Project) unaweza lipa katika muda mfupi.

Lengo langu sio tu kufuga Nguruwe, bali kufuga na kuongezea thamani bidhaa nitakazizozalisha ili kuuza bidhaa hizo Kwenye upper-end market.

Nafahamu wapo watanzania wenye mitaji ila hawana muda wa kufanya mradi wa aina hii. Mimi nina ardhi kubwa kando ya mto Ruvu, access ya kupata soko zuri na elimu ya kutosha ambayo ninatarajia kuitumia katika mradi huo.

Hivyo nakaribisha wenye mitaji ya hali (Relevant education) na Mali (Fedha) ktk kufanikisha mradi huu.

Mambo yote yataenda kisomi/kisheria.

Karibuni sana
Bonge moja la idea mkuu big up
 
Ndukidi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Messages
1,309
Points
2,000

Ndukidi

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2012
1,309 2,000
Kufuatia maoni ya wadau waliosoma uzi huu imenipasa nitoe japo a concept note.

Kiufupi lengo kuu la mradi ni Kuanzisha ufugaji wa Nguruwe kibiashara - Commercial Piggery Project (as opposed to traditional/subsistence Piggery Project). Features za commercial Piggery project include

1. Profitable Business
2. Energy-saving technology
3. Ecologically clean production
4. Humane attitude to pigs

Nimechagua kufuga Nguruwe badala ya wanyama wengine Kwa sababu zifuatazo

1. Nguruwe ana relatively low feed conversion ratio (FCR) ambayo ni nzuri mana inaelezea ufanisi Mkubwa alionao wa kuzalisha nyama toka Kwenye chakula ana chokula. Yaani anatumia chakula kidogo kuzalisha Kilo moja ya nyama.

2. Nguruwe wanakua haraka (Wana high growth rate). Nguruwe aliyetunzwa vzr anaweza kuwa na kilo Kati ya 100 -110 ndani ya miezi 6.

3. Wanabeba mimba Kwa muda mfupi Sana i.e. three months, three weeks and three days= in total 114 days. Na wanaweza kuzaa Kwa wastani watoto 10-14 Kwa mzao. Hii inategemea ubora wa mbegu, chakula na afya yao. Nguruwe pia anaweza kuzaa mara 2 Kwa mwaka.

4. Nyama yake ni White meat, hivyo ni nzuri Kwa afya na wateja wengi wanaipenda.

5. Kwa Tanzania wafugaji wa kibiashara ni wachache na kimsingi wameshindwa kumeet market demand. Hivyo Kuna soko kubwa Sana nchini ambalo Kwa sasa linalazimika kuagiza nyama hiyo nje ya nchi mana hatujaweza bado zalisha Bidhaa wanzozihitaji.

6. Wazalishaji karibu wote wamejikita katika kuuza raw pork meat/live animals (nguruwe mzima mzima). Hivyo kuna uhaba Mkubwa Sana Sana wa Bidhaa za Nguruwe zilizoongezewa thamani kama specialized and packed pork cuts, Bacon, Smoked pork meat, pork sausages etc.

Kwa kutambua haya. Ndio nikawiwa kutafuta wenzangu wanaopenda kuungana nami ili tuchangamkie fursa hii.

Gharama za ufugaji wa Nguruwe.

Kwa ujimla gharama zina tofautiana Sana kulingana na namna unavyoendesha ufugaji wako. Gharama kubwa ktk ufugaji wa Nguruwe, ukiachia Ujenzi wa Banda la kisasa, zipo kwenye chakula. Japo kuna wataalamu wanaotoa gharama za makadirio, ukweli ni kwamba si rahisi kuwa realistic Kwenye makadirio hayo.

Chakula:

1) Nguruwe ana nyonya Kwa muda wa week 4 (siku 28). Baada ya hapo anapaswa kutengwa na mama yake na kuwekwa Kwenye Banda la kukulia ili kumpa mama yake muda wa kuzalisha joto ili apandwe tena. Nguruwe no Omnivore (hula nyama na majani, nafaka/mbegu) hivyo inapaswa umlishe chakula chenye mchanganyo na virutubisho vyote na ikifaa iwe katika form ya Pellets.

Baada ya kunyonya hula chakula cha uzito mbalimbali kulingana na uzito wao mfano.

2) Nguruwe mwenye 10-17kg anapaswa kula 0.8 kg Kwa siku

3) Nguruwe mwenye 18-29Kg anapaswa Kula 1kg Kwa siku

4) Nguruwe mwenye 30-40kg anapaswa Kula 1.5kg Kwa siku.

5) Nguruwe mwenye 40-60 kg anapaswa Kula 2kg Kwa siku.

6) Nguruwe mwenye 61-80kg anapaswa Kula 2.5kg Kwa siku.

7) Nguruwe mwenye 81-100kg anapaswa Kula 3kg Kwa siku.

8) Nguwure zaidi ya 100kg na mwenye mimba anapaswa Kula 6 kg.

Inashauriwa Nguruwe auzwe chini ya 120kg maana baada ya bado anakuwa na high feed conversion ratio. Anatumia chakula kingi kutengeneza kilo moja ya nyama hivyo ni hasara Kwa mfugaji.

Naweza kudadavua zaidi Kwa interested and serious partners baadaye.

Bei ya Mbegu (Breeding Stock)

Bei ya Nguruwe wa mbegu pia inategemea unahitaji mbegu aina gani, wa ukubwa gani na unamtoa wapi. Kuna aliyetaka niuzia wa mwezi mmoja Kwa 100,000 na wa miezi sita kwa 600,000 Dar Es Salaam. Hivyo bei zina range hapo.

Soko la Nguruwe.

Soko ni kubwa Sana kuanzia soko la wateja wa kawaida hadi mahotelini. Wakati kilo 1 ya raw meat inauzwa Kwa TZS 8000 Kwa bei ya rejareja, Kwenye mahoteli ambako wananunua Bidhaa zilizoongezewa dhamani, kilo moja ya Bidhaa hiyo huuzwa hadi TZS 30,000.

Kwenye ufugaji ninaotaka kuufanya Mimi target yangu ni Soko la mahotelini.

Nini kipo tayari Hadi sasa

Ninaye mtaalam wa kuongezea thamani yaani kufanya smoking, kufanya hizo pork cuts, kutengeneza bacon n.k.

Nina shamba zaidi ya heka 3 lipo mita 600 kando ya mto Ruvu, Mlandizi na umeme haupo mbali. Hivyo suala la Maji na umeme Kwenye shamba Hilo ni rahisi.

Nina kijana wa kazi mmoja na Mimi mwenyewe ntakuwa naishi hapo hapo Shambani muda mwingi.

Nina wataalamu wa magonjwa ya Nguruwe wawili ambao wameshaonesha interest ya kushirikiana nami katika hii project.

Vinavyokosekana Hadi sasa.

Mtaji Kwa maana ya Fedha za kujenga Banda la kisasa la kuaccomodate breeding stock ya Nguruwe angalau 50 na Banda la kutunzia watoto, kujenga processing unit/house, kuweka uzio eneo la banda, kununua chakula na breeding stock 50 pigs, kutengenezea cold room/chiller, smoker, kununua machine za cutting, vacuum na vifungashio, kujisajiri TFDA na TBS.

Kama Kuna maswali zaidi nitaendelea Kujibu.
Hongera sana kama alivyosema mdau mwingine hapo, manaweza anza kidogo kidogo, mkaboresha kadri mnavyoendelea. Big UP sana.
 
Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,229
Points
2,000

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,229 2,000
Mkuu, kaa utulie na usome post #97.
Na hiyo ndiyo kazi ya nguruwe kwa binadamu, in this case the pig is purely guinea pig and that's a big reason for whuch they were created by God.
Nguruwe na panya ni wanyama wazuri sana kwa kutumiwa kufanyia tafiti za awali za madawa ya binadamu.
Kwani Kutumia viungo vya nguruwe katika miili ya binadamu si sawa na kula nyama yake??, hebu chukuwa mfano mtu anapopandikizwa figo je ni sawa tukisema huyo aliyepandikizwa kala figo la binadamu??.
Kwa imani yenu mnamtanabaisha nguruwe kama mnyama haramu na hata wewe ukakazia kuwa hafai anasababisha ushoga kitu ambacho hakiko "scientifically proved".

Kwa mujibu wa imani yenu Mbwa na nguruwe hamtakiwi hata kuwakaribia, wakati ngozi yake inatumika kwenye vitu muhimu na unavitumia ipasavyo labda pengine yawezekana bado haujanielewa ngoja nikupe mfano

Mfano mimi si mtumiaji wa samaki aina ya Kambare ambaye hana magamba na nimeshamuharamisha wakati huohuo mimi ni mpenzi sana wa kula chapati ambazo kuna ingredients za samaki hao tuseme ubongo wao je nitakuwa sijamla huyo samaki?πŸ˜›

Na kwa utafiti unaoendelea wa nguruwe kutibu kansa ya ubongo, na matiti wataalamu wanasema dawa itakuwa ni ubongo wao kama utafiti wao utaishia kwenye matokeo mazuri.

Je mheshimiwa kwa watu wenye imani yako au wewe mwenyewe ukapata kansa mojawapo kati ya hizo mbili na dawa iliyotengenezwa kutibu imetokana na ubongo wa nguruwe 100% (Siombei mabaya juu ya afya yako ni mfano) hautakubali kutibiwa kisa imani yako?
 
Mkuu umesoma post no 97??.

Halafu unasema; " kwa imani yenu"--- sasa nikuulize kwa imani yetu ipi ??, ujue Qur'an na Biblia zinasema nguruwe ni haramu na hata maandiko ya dini ya kiyahudi yanasema nguruwe ni haramu, kifupi ni kwamba Mungu mwenyewe aliyemuumha huyo nguruwe a aliyetuumba sisi anatukataza kula nyama ya
huyo nguruwe sasa sisi nani zaidi ya Mungu aliyetuumba?!!.

Kwakuwa Mungu katupatia akili ya utambuzi ni juu yetu kutafakari kwanini katukataza kula kitimoto na kitimoto anayo faida gani kwetu??, hayo ndiyo maswali ya kujiuliza.

FAIDA ZA KITIMOTO;

Miongoni mwa wanyama wanaokurubiana na binadamu (close related in metabolism) nguruwe yupo karibu mno na mwanadamu na ndiyo maana kuna nyuzi za kushonea vidonda (stiching) hutumika aina fulani ya utumbo wa nguruwe uliotayarishwa kitaalamu, pia kama nilivyosema kuna baadhi ya dawa za magonjwa ya binadamu hupewa kwanza nguruwe kuangalia kama zinayo madhara na pia kujua kama zinafaa katika tiba kwa magonjwa ambayo ni common kwa nguruwe na binadamu kama mafua nk,

Wanasayansi zama hizi wamekuwa wakitafiti viungo vya nguruwe kama macho, maini, mafigo,moyo, mapafu, kongosho nk, kama viungo mbadala wa viungo vilivyodhurika vya binadamu na imeonekana kuna mafanikio makubwa sana pia mafuta ya nguruwe yanaweza kutumika kama malighafi katika viwanda vya kemikali kama kutengenezea sabuni na lubricants (vilainishi nk), kifupi nguruwe anayo manufaa ila binadamu ni mnyama MROHO kuliko wanyama wote ndiyo maana hasikii onyo la Mungu juu ya uharamu wa nguruwe.

HASARA ZA KULA NYAMA YA NGURUWE:- niliishaekeza hasara zake ila hapa nitazieleza tena kwa faida ya wengine;
Madume ya Nguruwe hayana wivu, kamwe huwezi kuona madume ya nguruwe yakipigana kugombea jike, jike akiwepo ni mali ya wote-- watu wanaokula nguruwe hawashughuliki na wala hakasiriki kabisa akisikia mkewe anagegedwa kwasababu anakuwa karithi tabia za kinguruwe.

Ukiweka pamoja madume ya nguruwe hata kama kuna majike ni aghalabu kuyakuta yakigegedana kinyume cha maumbile (ushoga)--- watu wanaokula nguruwe ni aghalabu kuwaona wakiwa na hizo tabia, yaani wanaambukizwa tabia ya ushoga kutoka kwa nguruwe kwa sababu kiasi fulani "we are close related to nguruwe" katika metabolism kwa sababu sisi sote ni "omnivorous" na ndiyo maana kula nyama ya nguruwe ni KARIBU sana na kula nyama ya mtu jinsi watu wanavyo sema ukila nyama ya mtu huwezi kuacha na ndivyo ilivyo kwa nyama ya nguruwe kwani walaji wameibatiza kwa kuiita eti "mkuu wa meza".

Ulaji wa Nyama ya nguruwe unachochea sana ugonjwa wa kansa,yaani nyama yake imejaa "free radicals" na ukitaka mgonjwa wako wa kansa asipone wewe uwe ukimpa kitimoto.

Nguruwe anaambukiza magonjwa mengi ya minyoo kama nyama yake haikuandaliwa vizuri, kinyesi chake kimejaa wadudu wa kipindupindu na typhoid, mafuta yake yamejaa aina mbalimbali za sumu kwa sababu ndiyo store yake ya kuhifadhi sumu zitokazo na vyakula mbalimbali anavyokula na ndiyo maana huwezi kukuta nguruwe kafa kwa kuumwa na nyoka yeyote hata "black mamba" hawezi kumuua nguruwe, sumu ya 'mafuta" yake ukichanganya na sumu ya nyoka unapata "neutral".

Nyama ya nguruwe inayo madhara ya muda mrefu na mfupi, ya muda mfupi ni kwa wale wanaotokewa na mapele mwilini mara wanapokula na yale ya muda mrefu ni pamoja na kuambukizwa USHOGA na magonja ya cancer nk.

VYAKULA APENDAVYO NGURUWE.

Nguruwe ukimuwekea labda ugali na maharage na pembeni ukamuwekea nyama mbichi iliyooza inayotoa harufu mbaya na mafunza, kwanza atakula hiyo nyama iliyooza, inayotoa harufu mbaya na mafunza na akimaliza ndipo atakula huo ugali na maharage-- hii inaonyesha jinsi nguruwe alivyokuwa mchafu, na hata akishikwa na njaa hula watoto wake kitendo ambacho huweziona kwa wanyama wengine.

Sijafanya utafiti ili kuona kama "cannibalism" kwa baadhi ya watu inaweza kuwa ni kutokana na ulaji wa kitimoto kwa sababu nguruwe ni cannibalist.
 
Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,229
Points
2,000

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,229 2,000
Mkuu umesoma post no 97??.
Halafu unasema; " kwa imani yenu"--- sasa nikuulize kwa imani yetu ipi Qur'an na Biblia zinasema nguruwe ni haramu na hata maandiko ya dini ya kiyahudi yanasema nguruwe ni haramu, kifupi ni kwamba Mungu mwenyewe aliyemuumha huyo nguruwe a aliyetuumba sisi anatukataza kula nyama ya huyo nguruwe sasa sisi nani zaidi ya Mungu aliyetuumba?!!.
Kwakuwa Mungu katupatia akili ya utambuzi ni juu yetu kutafakari kwanini katukataza kula kitimoto na kitimoto anayo faida gani kwetu??, hayo ndiyo maswali ya kujiuliza.
FAIDA ZA KITIMOTO;
Miongoni mwa wanyama wanaokurubiana na binadamu (close related in metabolism) nguruwe yupo karibu mno na mwanadamu na ndiyo maana kuna nyuzi za kushonea vidonda (stiching) hutumika aina fulani ya utumbo wa nguruwe uliotayarishwa kitaalamu, pia kama nilivyosema kuna baadhi ya dawa za magonjwa ya binadamu hupewa kwanza nguruwe kuangalia kama zinayo madhara na pia kujua kama zinafaa katika tiba kwa magonjwa ambayo ni common kwa nguruwe na binadamu kama mafua nk,
Wanasayansi zama hizi wamekuwa wakitafiti viungo vya nguruwe kama macho, maini, mafigo,moyo, mapafu, kongosho nk, kama viungo mbadala wa viungo vilivyodhurika vya binadamu na imeonekana kuna mafanikio makubwa sana pia mafuta ya nguruwe yanaweza kutumika kama malighafi katika viwanda vya kemikali kama kutengenezea sabuni na lubricants (vilainishi nk), kifupi nguruwe anayo manufaa ila binadamu ni mnyama MROHO kuliko wanyama wote ndiyo maana hasikii onyo la Mungu juu ya uharamu wa nguruwe.
HASARA ZA KULA NYAMA YA NGURUWE:- niliishaekeza hasara zake ila hapa nitazieleza tena kwa faida ya wengine;
Madume ya Nguruwe hayana wivu, kamwe huwezi kuona madume ya nguruwe yakipigana kugombea jike, jike akiwepo ni mali ya wote-- watu wanaokula nguruwe hawashughuliki na wala hakasiriki kabisa akisikia mkewe anagegedwa kwasababu anakuwa karithi tabia za kinguruwe.
Ukiweka pamoja madume ya nguruwe hata kama kuna majike ni aghalabu kuyakuta yakigegedana kinyume cha maumbile (ushoga)--- watu wanaokula nguruwe ni aghalabu kuwaona wakiwa na hizo tabia, yaani wanaambukizwa tabia ya ushoga kutoka kwa nguruwe kwa sababu kiasi fulani "we are close related to nguruwe" katika metabolism kwa sababu sisi sote ni "omnivorous" na ndiyo maana kula nyama ya nguruwe ni KARIBU sana na kula nyama ya mtu jinsi watu wanavyo sema ukila nyama ya mtu huwezi kuacha na ndivyo ilivyo kwa nyama ya nguruwe kwani walaji wameibatiza kwa kuiita eti "mkuu wa meza".
Ulaji wa Nyama ya nguruwe unachochea sana ugonjwa wa kansa,yaani nyama yake imejaa "free radicals" na ukitaka mgonjwa wako wa kansa asipone wewe uwe ukimpa kitimoto.
Nguruwe anaambukiza magonjwa mengi ya minyoo kama nyama yake haikuandaliwa vizuri, kinyesi chake kimejaa wadudu wa kipindupindu na typhoid, mafuta yake yamejaa aina mbalimbali za sumu kwa sababu ndiyo store yake ya kuhifadhi sumu zitokazo na vyakula mbalimbali anavyokula na ndiyo maana huwezi kukuta nguruwe kafa kwa kuumwa na nyoka yeyote hata "black mamba" hawezi kumuua nguruwe, sumu ya 'mafuta" yake ukichanganya na sumu ya nyoka unapata "neutral".
Nyama ya nguruwe inayo madhara ya muda mrefu na mfupi, ya muda mfupi ni kwa wale wanaotokewa na mapele mwilini mara wanapokula na yale ya muda mrefu ni pamoja na kuambukizwa USHOGA na magonja ya cancer nk.
VYAKULA APENDAVYO NGURUWE.
Nguruwe ukimuwekea labda ugali na maharage na pembeni ukamuwekea nyama mbichi iliyooza inayotoa harufu mbaya na mafunza, kwanza atakula hiyo nyama iliyooza, inayotoa harufu mbaya na mafunza na akimaliza ndipo atakula huo ugali na maharage-- hii inaonyesha jinsi nguruwe alivyokuwa mchafu, na hata akishikwa na njaa hula watoto wake kitendo ambacho huweziona kwa wanyama wengine.
Sijafanya utafiti ili kuona kama "cannibalism" kwa baadhi ya watu inaweza kuwa ni kutokana na ulaji wa kitimoto kwa sababu nguruwe ni cannibalist.
Umeanza kwa kuuliza imani yetu (yako) ipi? Imani yako ni uislamu.
Ukaja kuzungumzia habari ya Bible na Qur'an kumtambulisha nguruwe kama mnyama haramu ni kweli na si yeye tu na wengine kibao. Sasa fuatana nami πŸ‘‡
Yesu aliwaambia wanafunzi wake kwamba Hakuna kimuingiacho mwanadamu ni najisi bali kimtokacho (hapa tunajifunza nini mnyama yoyote aliyeumbwa na mwenyezi mungu hakuna hata mmoja aliye haramu wote wanalika na binadamu ila kimtokacho mwanadamu ndicho kina najisi) yani hiyo sheria ya nguruwe haipo tena ilishapitwa na wakati.
Sasa kwa kuzingatia misingi ya uislamu ambayo imeganda haiendani na wakati bado sheria za Musa zinatumika ambazo kwetu sisi wakristo Yesu alikuja kuzitolea ufafanuzi zote hakuacha hata moja.
Ukazungumzia tena Hasara za nguruwe kuwa mwanaume amlaye Nguruwe atakuwa hana wivu kwamba hata akisikia mkewe anagegedwa hatopatwa na wivu NI UWONGO MKUBWA mimi nakula nguruwe nina wivu wa ajabu hata wakutamani kutumia silaha sasa hao waliokuambia hilo jambo ni wakupuuzwa ni waongo.
Nakupa mfano, Kondoo anatabia ya upole, mnyeyekevu na ni mkali sana akichokozwa je wanaomla wana tabia kama zake? Na kuku ni mchafu kuku anakula kinyesi "mavi" je wanaokula kuku na wao wanakula mavi?
Chamwisho ukazungumzia Nguruwe akiwekewa nyama iliyooza na ugali maharage basi atakula kwanza nyama iliyooza kisha Ugali maharagwe ni kweli atakula nyama kwanza sababu nguruwe hali maharage atakula kwanza nyama ni sawa na Mbwa umuwekee ugali maharage na Nyama iliyooza katu hatokula ugali maharage hawali maharage atakula nyama tu.
Mfano wako ni wahovyo na haunauhalisia naishi eneo lenye wafugaji wa nguruwe najua wanakula nini na nini hawali.
Chakumalizia nguruwe kumla mtoto wake akishikwa sana njaa sijawahi kuona hivyo siwezi kukataa wala kukubali, ila hata binadamu tukishikwa njaa na hakuna chakula tunaweza kula chochote Mimi nishakula hadi kobe kwani niliwahi kuiona njaa kwa macho miaka mingi sana iliyopita
 
1--- Wewe ni mkristo gani usiyejua maneno ya Yesu?!!, Yesu alikuwa hodari kusema kwa mifano hivyo usikurupuke kusoma maneno yake la sivyo utaishia kutoa tafsiri za hovyo kama hizo ulizotoa.

Eti Yesu kasema; kimuingiacho mtu hakimtii unajisi bali kimtokacho-- je kauli hiyo inahalalisha mtu ale kitu chochote na inatengua uharamu wa nyama ya nguruwe!!?, au wale wabuia unga nao ni halali kula unga kwa sababu unga unaingia mwilini!! au siyo??. Hiyo kauli ya Yesu ipo kiroho zaidi kuliko kimatendo, (more spiritual than canal).

Ukisoma Mathayo 5:17, Yesu anasema hakuja kutangua Taurati na manabii, sasa wewe kwa uroho wako wa kitimoto unataka kumsingizia uongo Bwana Yesu kwamba kaja kutangua sheria!!?.

2--- Eti unadai wewe unakula kitimoto na unao wivu sana!!, sasa tuambie ni nani kathibitisha kwamba wewe unao wivu sana??.
Halafu mbona hujazungumzia juu ya madhara mengine ya kula kitimoto??

3----Tabia ya upole na ukali ya kondoo, hapo upo sahihi kondoo ni wapole na pia ni wakali wanapochokozwa na ndivyo inavyotakiwa watu wawe namna hiyo na ndiyo maana kondoo siyo haramu kuliwa.

4----- Unasema kuku mbona anakula kinyesi je,wanaomla na wao wanakula kinyesi??, kumbuka hapa tunazungumzia juu ya nguruwe aliyeharamishwa na Mungu kuliwa wala hatuzungumzii juu ya vyakula halali kama Kobe uliyemla wakati wa njaa, kobe ni halali kuliwa kama ni haramu onyesha wapi imeeandikwa.

5--- Wakati wa njaa nguruwe karuhusiwa kuliwa bali hata paka, Mbwa nk, wanaruhusiwa kuliwa, na utakuwa ni mtu mjinga bali mpumbavu eti ufe na njaa wakati nguruwe na paka na mbwa wapo.

6--- Eti unasema nguruwe hali Maharage yaliyopikwa??, wewe umeingia kujadili kitu usichojua ni bora ungeuliza kwanza ndipo uje hapa kujibu. Nguruwe na Binadamu na panya wanaitwa "Omnivorous" yaani wanakula vyakula mbalimbali, kuna canivorous -hawa wanakula nyama, Herbvorous- hawa wanakula nyasi.

7---Unasema unaishi kwenye maeneo ya wafugaji wa nguruwe, mimi nilidhani uliisha wauliza kuhusu nguruwe akiwa na njaa anawafanya nini watoto wake!!??. Anakula full stop.

8-- Point ya mwisho ambayo nataka kuiweka ni kuwa nguruwe ni miongoni mwa wanyama wanaokula uchafu (wasafishaji) "scavengers", wenzake ni akina Fisi,Tai,Ngiri,Boar nk.-- Swali wewe unaweza kula Fisi katika hali ya kawaida siyo njaa??😁😁
 
Consider this passage from Mark 17:...….. "18: And he said to them, "Then are you also without understanding? Do you not see that whatever goes into a man from outside cannot defile him, 19: since it enters, not his heart but his stomach, and so passes on?" (Thus he declared all foods clean.) 20: And he said, "What comes out of a man is what defiles a man. 21: For from within, out of the heart of man, come evil thoughts, fornication, theft, murder, adultery, 22: coveting, wickedness, deceit, licentiousness, envy, slander, pride, foolishness. 23: All these evil things come from within, and they defile a man." ……. Obviously, the Gospel writer wants to make sure the reader does not miss the point by stating clearly, "THUS HE DECLARED ALL FOODS CLEAN." I'd encourage you to take the time to open youy Bible and study this passage in context.

(Nadhani sasa utabadilisha fikra zako kwa kuwa huijui Biblia)

Hujui lolote kuhusu biblia huo mstari unaou_Quote kutoka katika Biblia nyinyi waislamu wote ndipo mnapokimbiliaga hamna mstari mwingine wa kuhalalisha uharamu wa nguruwe)

Sisi wakristo hadi pombe si haramu tunagonga kama kawaida ila kwa kiasi (Too much is harmful)
 
Sasa hapo ni wapi nguruwe kasemwa ni halali??!,

Chochote kiingiacho nwilini hakimtii mtu unajisi -- sasa unasemaje teja (mbuia cocaine) naye akinukuu hicho kifungu kuhalisha kubuia cocaine??!, bado mnywa gongo bado na mvuta bangi naye akija kuhalisha bangi akinukuu hicho kifungu utasemaje ??-- kwa kutumia hicho kifungu wewe umehalisha pombe kwa kusema eti " kunywa kiasi"!!, sasa ni kiasi gani-- nusu lita, robo au lita kumi??.

Ndiyo maana nikasema mmemnukuu vibaya Yesu au mmeshindwa kumuelewa kwa sababu yeye alikuwa "expert in parables" nanyi kwa uroho wa matumbo yenu mkadhani mmehalishiwa vyakula vyote na vile vilivyokuwa haramu kama kitimoto,pombe, madawa ya kulevya nk, kwa sababu vyote vinaingia mwilini na kiingiacho mwilini hakimtii mtu unajisi.

Nilinukuu kauli ya Yesu kutoka Mathayo, inayosema Yesu hakuja kutangua torati na manabii bali kutimiliza-- wewe unamzulia UONGO kwa kusema ametangua kile kifungu kutoka Walawi kinacho haramisha baadhi ya wanyama akiwemo nguruwe.

Nyie wakristo (baadhi) hmnapenda sana kupindisha maneno ya Yesu ili kukidhi haja zenu na matamanio ya nafsi zenu kwani hata Mashoga wa huko Ulaya wananukuu vifungu kutoka agano jipya (maneno ya Yesu) kuhalalisha ushoga wao.

Swali lipo palepale ni wapi Yesu alitengua amri ya kuharamisha kula nguruwe.?? Kwa sababu hiyo unayoita amri ya kuhalalisha nguruwe ni kama "pandora box" haipo specific na ukifungua hilo box kila kitu kinatika humo kibaya na kizuri na mtu anaweza kujitetea akala nyama ya mtu na akasema kiingiacho hakimtii mtu unajisi bali kitokacho.

Upo 😁😁??
 
Yani wewe muislam imani yako imekufanya kuwa mjinga hutaki kuelewa. Embu fuatana nami japo kwa uchache ufunguke.
Gongo, Cocaine na vinginevyo vimeharamishwa kwa sababu kubwa moja ya kusababisha "Uraibu" Cocaine inatumika mahospitalin Bange inatumika mahospitalin, Gongo imeharamishwa kwa sababu haina viwango sahihi vya alcohol. Mbadala wake ni "Konyagi" kwa Tanzania.
Nilikwambia "Too much of anything is harmful" Pombe ikitumiwa sana ina madhara na vingine vyoote unavyovifahamu vilivyomo ulimwenguni.
Turudi katika mada yetu ya Nguruwe.
Tokea ujio wa Yesu duniani Sheria za Musa ama Torati za Musa zilipata kipigamizi kikubwa sana ndio maana Ukisoma kitabu cha Agano jipya ambacho hakina kitabu cha Musa hata kimoja ambacho ndiko yuko "Mathayo" inapinga waziwazi masheria ya Musa na hayakuwahi kutendeka kokote Yani tangia uzaliwa wa Yesu sheria za Musa hazikuwahi kufanya kazi.
Yesu amehalalisha kila mnyama aliyetengenezwa na Mungu yani hata wadudu wanalika. Japan kuna Samaki anaitwa "Fugu" huyu Samaki ni ghali sana na anasumu ya kuuwa chini ya dakika moja macho yake yana sumu, utumbo n.k ila analika.
Umeuliza ni wapi Yesu alihalalisha matumizi ya nguruwe? Jibu ni rahisi pale aliposema kila kimuingiacho mwanadamu si najisi bali kimtokacho hapa mjadala ukafungwa. (Ila kila kitu kitendeke kwa kiasi)
Naomba nikuulize Swali moja tu mjadala tuufunge, Musa alikuwa na Sheria za kuwapiga wazinzi mawe hadi wafe,Kuwakata viganja wezi n.k je wewe hujawahi kuiba, Je wewe hujawahi kuzini, je hujawahi kula samaki wasio na magamba, je Hujawahi kula wanayama wasio na kwato za kugawanyika? Kama hujawahi kufanya jambo hata moja basi Nguruwe ni haramu na hapaswi kulika ila kama umefanya na unaendelea kufanya na Nguruwe ataendelea kulika kwa kuzingatia ni kiumbe cha mwenyezi Mungu, na utamu alionao ukimchanganya na ndimuπŸ˜‹πŸ˜‹
 
Nilikuambia kuwa hiyo kauli ya Yesu kwamba "kiingiacho si najisi bali kitokacho" ni kama "pandora box" tukiifuata tafsiri yako, kwa sababu kila mtu anaweza kuitumia hiyo tafsiri kuhalalishaa chakula anachokipenda kama wewe kwa uroho wako unavyohalalisha nyama ya nguruwe na pombe na ipo siku utatafuta andiko la Yesu ili uhalalishe zinaa, nimekuuliza juu ya wale watu wanaokula nyama za watu na wao wakitumia hiyo kauli ya Yesu kuhalisha utasemaje??.

Swali ni hili; ni wapi Yesu alikanusha kauli yake kwamba hakuja kutangua taurati na manabii ili tuamini kuwa zama za Yesu sheria za taurati na mafundisho ya manabii hayakufuatwa (obsolete)??.

Ukiichunguza hiyo kauli kwamba "kila kiingiacho mwilini si najisi bali kitokacho"---- hii kauli haihusu chakula kwasababu chakula hakiingii chenyewe mwilini bali kinaingizwa kwa kuliwa kupitia mdomoni au kupitishwa kwa njia ya mirija, kwahiyo kiingiacho chenyewe mwilini hapa sio chakula kwasababu chakula hakiwezi kuingia chenyewe mwilini.

Yesu kama nilivyosema, alikuwa ni bingwa wa mifano/mithali hivyo ni werevu tu ndio wanaoweza kutambua maneno yake, kila kiingiacho mwilini si najisi bali kimtokacho maana yake ni kwamba mtu akishika mafundisho ya (Yesu) basi nafsi yake itatakasika na uovu ambao ndiyo najisi utamtoka huyo mtu, na ndiyo maana ya "kitokacho ni najisi".na mafundisho ya Yesu maana yake ni "kila kiingiacho mwilini"- hapo utaona fundisho hilo limekaa kiimani zaidi kuliko kimwili kwa sababu Chakula hakiingii mwilini chenyewe hadi kiliwe/kiingizwe tofauti na mafundisho ukiyasikia tu yanaingia yenyewe moyoni. Jesus was a master of parables, all his sayings have to be taken with a great care.

Kwa tafsiri zako mbovu za maneno ya Yesu, nilikuuliza je wale mashoga wanaonukuu maneno ya Yesu kama support ya USHOGA wao utawaambia nini ilhali wewe nawe ni kama wao pale unaponukuu vibaya maneno ya Yesu kuhalisha nguruwe na pombe??.

Wewe unashangaa wajapani wanakula "Fugu", watu wanakula utumbo wa ng'ombe uliojaa kinyesi tena hapahapa Tz 😁!! wanasema ukiuosha ladha yote inaisha!!., Huyo "Fugu'' ukisha mtoa sumu mbona analiwa tu shida iko wapi??

Kumbuka swali ni hili; ni wapi katika Biblia Yesu aliyakanusha maneno yake aliyoyatamka kwamba " hakuja kutangua torati na manabii bali kutimiliza"??
- ili tuanze kula kitimoto.

πŸ‘†πŸ»Ni wapi aliyakanusha hayo maneno.
 
Mokaze

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Messages
3,518
Points
2,000

Mokaze

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2018
3,518 2,000
Gongo, Cocaine na vinginevyo vimeharamishwa kwa sababu kubwa moja ya kusababisha "Uraibu" Cocaine inatumika mahospitalin Bange inatumika mahospitalin, Gongo imeharamishwa kwa sababu haina viwango sahihi vya alcohol. Mbadala wake ni "Konyagi" kwa Tanzania.
Unaelewa maana ya "Uraibu"??--- hili ni neno halisi la kiarabu lenye maana ya kiingereza "addiction"--- sasa, hiyo pombe uliyojihalalishia haina uraibu?!!.
 
Forum statistics

Threads 1,344,397
Members 515,456
Posts 32,819,476
Top