Ndani ya hiyo miezi 6 ukimtundika mimba je?Mimi naishi Marekani na nina miezi 2 nikiwa kama raia wa marekani.
Nataka roommate.
Roommate hutohusima kulipia bills yeyote ila tu nataka mtu(KE) wa kuishi nae kwa muda mfupi ambao unajitafuta chini ya miezi sita.
Kama ndo bado unawaza wapi pakufika au kuanzia maisha nchini Marekani natoa nafasi ya chuma kwa mtu mmoja ndani ya miezi sita.
Mimi napenda sana kusaifiri so nahitaji kampani ya mtu wa kuishi kwangu.
Nimepanga nyumba ina vyumba 2 ila maswala ya bills yeyote hutohusika.
Kama kuna mtu unamfahamu au unampngoa wa kujana na huna pa kufikia, Fanya tujadili zaidi PM.
Update kwa watu ambao wanafikiri niko hapa kuweka Fix
Ya kwanza ni pesa nimefanyia kazi ndani ya miezi sita mwaka huu wa 2023
View attachment 2832605
Picha ya pili ni pesa niliotuma Tanzania kupitia sendwave ndani ya miaka miwili.View attachment 2832610
Tatu ni bank statement
View attachment 2832607
Nne ni chakula ninachonunua Doordash maana sipend sana kupika.View attachment 2832611
Tano ni Bill ya umeme kila mwezi.View attachment 2832612
Hahaaaa aadopt mtu mzima!Vipi huhitaji wa kumuadopt?
Ndioooo🤣🤣Hahaaaa aadopt mtu mzima!
😂Mkuu Jimbo Gani Upo Nikuunganishe Na Bidada Flan Amezingi,mimi niko Marekani Center Kabisa Karibu Na Hawa Wauza Kachori
Kwann huyo mke wako ndio awe anaishi hapo na kufanya usafi unaousema?Mimi nina mke nimeoa. so sihitaji mke kama unavyoweza kufikiri.
Na ukweli ni kwamba nyumba niya kwangu na sijapanga.
Picha za nyumba sijatuma cos niko jimbo lingine tofauti na eneo usiku.
Hapo niliotuma ni baada ya kukuta zaidi ya Comment 20 nimezikuta watu wafirikir utapeli.
Hope umeelewa
Kwann huyo mke wako ndio awe anaishi hapo na kufanya usafi unaousema?
Vipi huhitaji wa kumuadopt?

akifikia hatua ya kumlipia mwanamke nauli niombee auntie niende🤣🤣🤣🤣 kikuu ana taarifa?akifikia hatua ya kumlipia mwanamke nauli niombee auntie niende
Dah natamani hiyo nyumba ingekua chinaSitafuti mtu wa kufanya usafi.
Ni wazo tu kwa vile mimi si mkaaji wa hapa kwasababu ya shughuli zingine, nilianza kukaribisha watu kuishi hapa kwa muda.
Mke ninae na tuna makazi sehemu tatu, so mke anaishi Tanzania kwasababu ya kibiashara. wakati mimi sipo home huyo mtu atakuwa anakaa home bila kulipia bills yeyote hata tukirudi, hatukah kwa muda mrefu.
Achana naye huyokikuu ana taarifa?
tunachotaka kwenda usaAaah atakupeleka ya Arusha.Achana naye huyotunachotaka kwenda usa
Uwe mbii katii,mporaa.Tatizo Niko huku misigiri
Aaah atakupeleka ya Arusha.
ya arusha siitakiNgoja nitakusemea😂😂ya arusha siitaki
Nakujua hushindwiiiNgoja nitakusemea![]()

Kwa kifupi unatafuta wa kugonga..Mimi naishi Marekani na nina miezi 2 nikiwa kama raia wa marekani.
Nataka roommate.
Roommate hutohusima kulipia bills yeyote ila tu nataka mtu(KE) wa kuishi nae kwa muda mfupi ambao unajitafuta chini ya miezi sita.
Kama ndo bado unawaza wapi pakufika au kuanzia maisha nchini Marekani natoa nafasi ya chuma kwa mtu mmoja ndani ya miezi sita.
Mimi napenda sana kusaifiri so nahitaji kampani ya mtu wa kuishi kwangu.
Nimepanga nyumba ina vyumba 2 ila maswala ya bills yeyote hutohusika.
Kama kuna mtu unamfahamu au unampngoa wa kujana na huna pa kufikia, Fanya tujadili zaidi PM.
Update kwa watu ambao wanafikiri niko hapa kuweka Fix
Ya kwanza ni pesa nimefanyia kazi ndani ya miezi sita mwaka huu wa 2023
View attachment 2832605
Picha ya pili ni pesa niliotuma Tanzania kupitia sendwave ndani ya miaka miwili.View attachment 2832610
Tatu ni bank statement
View attachment 2832607
Nne ni chakula ninachonunua Doordash maana sipend sana kupika.View attachment 2832611
Tano ni Bill ya umeme kila mwezi.View attachment 2832612
Hapo mkuuu umeelewekaSitafuti mtu wa kufanya usafi.
Ni wazo tu kwa vile mimi si mkaaji wa hapa kwasababu ya shughuli zingine, nilianza kukaribisha watu kuishi hapa kwa muda.
Mke ninae na tuna makazi sehemu tatu, so mke anaishi Tanzania kwasababu ya kibiashara. wakati mimi sipo home huyo mtu atakuwa anakaa home bila kulipia bills yeyote hata tukirudi, hatukah kwa muda mrefu.
Yaani kushea nyumba, si uswahili huo...maisha gani yasio na uhuru hayo?Huko wenzetu wa Ulaya au US, huwa hakuna kupangisha chumba ile kama kwetu, japo ni nadra sana ipo ila inakuwa mmepangishwa kwenye nyumba nzima, inaweza kuwa na vyumba mpaka 5 halafu mnashare jiko, bafu, choo.
Lakini mara zote nyumba juwa zinapangishwa kama nyumba nzima na kwa mtu mmoja tu, sasa kwa uwezo wako unachagua nyumba ya chumba kimoja au viwili mpaka vitatu au vinne, yaani nyumba nzima nadhani unanielewa..
Mtu akisha chukua nyumba ladba ya kupanga au kanunua kwa mortgage yenye vyumba viwili au vitatu, ni yeye sasa anakuwa na uwezo wa kuwapangishia washkaji wake vyumba humo halafu wanachangia kiwango ambacho mwenye kupangisha nyumba nzima ataamua ni bei gani walipie kwa chumba, lakini wanashea pamoja jiko, bafu, choo na kama akiaamua anaweza kuwaruhusu watanue pia sitting room siku moja moja 😂, hii mara nyingi ni kwa watu wako kama mfano wabongo wenzako, sio wamexican sijui wapopo wata take over nyumba nzima 😂😂😂, halafu wanakubakisha kwenye chumba chako tu.
Hivyo ndivyo wanavyopanga viumba vitatu usa river🤣
Kajala na mwanaye tayari washapeleka maombi ya kutaka kuishi na jamaa baada ya ya kuona fix zakeKuna mtu anaenda kuliwa kimasihala hapa.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue