Natafuta roommate nchi Marekani

Natafuta roommate nchi Marekani

Kwanini sisi wanaume hututaki?
Marekani kubwa weka tangazo lako vzr.
 
Kwanini sisi wanaume hututaki?
Marekani kubwa weka tangazo lako vzr.

Nikiwah kuishi na mwanaume nyimba ilikuta chafu sana, ni bora nimuachie mwanamke kuliko mwanaume.

Maelezo niko wapi ni kwa muhusika nitakae mpata
 
Acha kuwa kama lijinga. kama unaona utapeli bado unashiriki unaonekana mjinga.

Kwa sababu hata ulichopost hapa kila mtu anakushangaa anakuona zezeta tu, ndiyo maana unajibiwa kwa kejeli. Na huwezi kumpata mwanamke kwa utopolo kama huu hata wa kukujibu tu kwa kejeli humpati. Nakushauri futa takataka hii ili wasiendelee kukuumbua!
 
Daah sawa umetuma mpunga na unatafuta mdada wa kuishi nae miezi miwili tuu hili Tangazo ni la kutafuta Mke sema umeliweka kimitego sana...

Nyumba sio yako umepanga tuu unataka mtu wa kubaki ukisafiri daah...

Umetuma transaction za hela ukituma Tanzania na kipato chako hapa upo sawa angalia wewe unatafuta mtu tuu wa kukaa hapo kipato kinausiana nini...

Ungetaka kuishi na mtu yeyote hapo ungezingatia Location ya eneo na picha ya Nyumba ambayo mtu anatakiwa kuja kuishi na si mambo yako ya benefit ukiwa USA...

Wacha niendelee kuomboleza Watanzania waliokufa huko Hanang kwanza hizi mambo za chai ya asubuhi niachane nazo...
 
Mimi naishi Marekani na nina miezi 2 nikiwa kama raia wa marekani.

Nataka roommate.

Roommate hutohusima kulipia bills yeyote ila tu nataka mtu(KE) wa kuishi nae kwa muda mfupi ambao unajitafuta chini ya miezi sita.

Kama ndo bado unawaza wapi pakufika au kuanzia maisha nchini Marekani natoa nafasi ya chuma kwa mtu mmoja ndani ya miezi sita.

Mimi napenda sana kusaifiri so nahitaji kampani ya mtu wa kuishi kwangu.

Nimepanga nyumba ina vyumba 2 ila maswala ya bills yeyote hutohusika.

Kama kuna mtu unamfahamu au unampngoa wa kujana na huna pa kufikia, Fanya tujadili zaidi PM.

Update kwa watu ambao wanafikiri niko hapa kuweka Fix

Ya kwanza ni pesa nimefanyia kazi ndani ya miezi sita mwaka huu wa 2023
View attachment 2832605

Picha ya pili ni pesa niliotuma Tanzania kupitia sendwave ndani ya miaka miwili.View attachment 2832610

Tatu ni bank statement
View attachment 2832607

Nne ni chakula ninachonunua Doordash maana sipend sana kupika.View attachment 2832611

Tano ni Bill ya umeme kila mwezi.View attachment 2832612
mmh
 
Mtoa mada ingia mtandaoni kwenye sites za huko register adress zako utapata roommate wa aina yako unayemtaka, andika cha kufanya na cha kutokufanya katika nyumba yako.

Huku JF sisi tunaishi Bukumbi sote.

Nafikiri kama nimemuelewa, Mr sule hahitaji hela ya mtu wa kumsaidia kulipa rent.

Anahitaji mtu ambae ataishi free ili amsaidie pia kutunza nyumba kwani yeye ni mtu wa kusafiri mara kwa mara na ana nafasi ya kutosha kwenye nyumba yake, haoni tabu kumhifadhi mtu anaejipanga kimaisha!!

Kwa nini mwanamke?!! Ameshawahi kutoa nafasi kwa mwanaume na akawa disappointed so anaamini mwanamke atakua muungwana zaidi.

Mwisho kabisa nafikiri anafanya hivyo kama sehemu ya kutoa sadaka kwa wabongo wenzetu.

Kwa maisha ya ughaibuni mtu kukupa eneo la kukaa bure kwa miezi 6 ni sadaka kubwa sana kwani kwa uchache kabisa hapo ni kama dola 700 mara 6 = 4200 USD kama mtu utapanga sehemu ya kushea (tena room moja)

Apewe pongezi.
 
Binafsi nimemuelewa vizuri kabisa.
 
Daah sawa umetuma mpunga na unatafuta mdada wa kuishi nae miezi miwili tuu hili Tangazo ni la kutafuta Mke sema umeliweka kimitego sana...

Nyumba sio yako umepanga tuu unataka mtu wa kubaki ukisafiri daah...

Umetuma transaction za hela ukituma Tanzania na kipato chako hapa upo sawa angalia wewe unatafuta mtu tuu wa kukaa hapo kipato kinausiana nini...

Ungetaka kuishi na mtu yeyote hapo ungezingatia Location ya eneo na picha ya Nyumba ambayo mtu anatakiwa kuja kuishi na si mambo yako ya benefit ukiwa USA...

Wacha niendelee kuomboleza Watanzania waliokufa huko Hanang kwanza hizi mambo za chai ya asubuhi niachane nazo...

Mimi nina mke nimeoa. so sihitaji mke kama unavyoweza kufikiri.

Na ukweli ni kwamba nyumba niya kwangu na sijapanga.

Picha za nyumba sijatuma cos niko jimbo lingine tofauti na eneo usiku.

Hapo niliotuma ni baada ya kukuta zaidi ya Comment 20 nimezikuta watu wafirikir utapeli.

Hope umeelewa
 
Mkuu naomba unitumie tu 10k
 
Back
Top Bottom