Una uraia pacha au imekuaje hapo?
Mimi naishi Marekani na nina miezi 2 nikiwa kama raia wa marekani.
Nataka roommate.
Roommate hutohusima kulipia bills yeyote ila tu nataka mtu(KE) wa kuishi nae kwa muda mfupi ambao unajitafuta chini ya miezi sita.
Kama ndo bado unawaza wapi pakufika au kuanzia maisha nchini Marekani natoa nafasi ya chuma kwa mtu mmoja ndani ya miezi sita.
Mimi napenda sana kusaifiri so nahitaji kampani ya mtu wa kuishi kwangu.
Nimepanga nyumba ina vyumba 2 ila maswala ya bills yeyote hutohusika.
Kama kuna mtu unamfahamu au unampngoa wa kujana na huna pa kufikia, Fanya tujadili zaidi PM.
Update kwa watu ambao wanafikiri niko hapa kuweka Fix
Ya kwanza ni pesa nimefanyia kazi ndani ya miezi sita mwaka huu wa 2023
View attachment 2832605
Picha ya pili ni pesa niliotuma Tanzania kupitia sendwave ndani ya miaka miwili.View attachment 2832610
Tatu ni bank statement
View attachment 2832607
Nne ni chakula ninachonunua Doordash maana sipend sana kupika.View attachment 2832611
Tano ni Bill ya umeme kila mwezi.View attachment 2832612
Marekani ya buza hiyo na kuna mabwege yataaminiMimi naishi Marekani na nina miezi 2 nikiwa kama raia wa marekani.
Nataka roommate.
Roommate hutohusima kulipia bills yeyote ila tu nataka mtu(KE) wa kuishi nae kwa muda mfupi ambao unajitafuta chini ya miezi sita.
Kama ndo bado unawaza wapi pakufika au kuanzia maisha nchini Marekani natoa nafasi ya chuma kwa mtu mmoja ndani ya miezi sita.
Mimi napenda sana kusaifiri so nahitaji kampani ya mtu wa kuishi kwangu.
Nimepanga nyumba ina vyumba 2 ila maswala ya bills yeyote hutohusika.
Kama kuna mtu unamfahamu au unampngoa wa kujana na huna pa kufikia, Fanya tujadili zaidi PM.
Update kwa watu ambao wanafikiri niko hapa kuweka Fix
Ya kwanza ni pesa nimefanyia kazi ndani ya miezi sita mwaka huu wa 2023
View attachment 2832605
Picha ya pili ni pesa niliotuma Tanzania kupitia sendwave ndani ya miaka miwili.View attachment 2832610
Tatu ni bank statement
View attachment 2832607
Nne ni chakula ninachonunua Doordash maana sipend sana kupika.View attachment 2832611
Tano ni Bill ya umeme kila mwezi.View attachment 2832612
Bingwa , sasa hii Tax return inahusiana vipi
Au unamuwahi Trump kabisa unatoa yako kabla yake..
Duh! halafu hufikirii maisha ya usoni kabisa, yaani pensenshi mpaka sasa una dola 100 tu...![]()
View attachment 2832615
I can see how maisha ya nje yalivyonaupweke ,Mimi naishi Marekani na nina miezi 2 nikiwa kama raia wa marekani.
Nataka roommate.
Roommate hutohusima kulipia bills yeyote ila tu nataka mtu(KE) wa kuishi nae kwa muda mfupi ambao unajitafuta chini ya miezi sita.
Kama ndo bado unawaza wapi pakufika au kuanzia maisha nchini Marekani natoa nafasi ya chuma kwa mtu mmoja ndani ya miezi sita.
Mimi napenda sana kusaifiri so nahitaji kampani ya mtu wa kuishi kwangu.
Nimepanga nyumba ina vyumba 2 ila maswala ya bills yeyote hutohusika.
Kama kuna mtu unamfahamu au unampngoa wa kujana na huna pa kufikia, Fanya tujadili zaidi PM.
Update kwa watu ambao wanafikiri niko hapa kuweka Fix
Ya kwanza ni pesa nimefanyia kazi ndani ya miezi sita mwaka huu wa 2023
View attachment 2832605
Picha ya pili ni pesa niliotuma Tanzania kupitia sendwave ndani ya miaka miwili.View attachment 2832610
Tatu ni bank statement
View attachment 2832607
Nne ni chakula ninachonunua Doordash maana sipend sana kupika.View attachment 2832611
Tano ni Bill ya umeme kila mwezi.View attachment 2832612
Si umesema ni raia wa marikani🤣🤣Tumia akili.
Hiyo sio tax return.
Na hiyo peshen walitaka waanze kuchukua kwa mara kwanza ( ni kampuni ya watu binafis tu) mimi nilikataa cos bado nina benefits za SC na pili sina malengo ya kuishi Marekani
Ila wana wa adam bhnaa, basi sawa
Si lazima mmarekani kuwa na malengo ya kuishi Marekani
hahaha..wapemba hawana filter kama NY pagumu si aende Down South.Labda ukiangalia hii clip, utanielewa zaidi kwanini watu wanatafuta wakuwapangisha maisha yaende...
View attachment 2832592