Hupewi kitu 😉😉Sasa ubaya wa frend zone ni upi 😂
Sanaaa,ngoja nami nibadilishe jina tena nijiite ,Dear,Daisy au Docas! Lipi zuri hapo? Huenda nikaonwa nae😂😂😂😂😂 na anapenda D D huyoo
Afu mbaya sana....hata denda hupatiHupewi kitu 😉😉
Unaishia kupewa maneno tu
Jiite Diana Princess 😀😀😀 itapenezaSanaaa,ngoja nami nibadilishe jina tena nijiite ,Dear,Daisy au Docas! Lipi zuri hapo? Huenda nikaonwa nae
Ushapata mchumba?Natafuta restaurant ya Kiswahili London au mtu anayepika nyumbani na kuuza chakula kwa mtu moja moja.
Ahsanteni saaana.
😋😋 hata kumshika kiuno na ku mkiss shingoni haipo.. unaishia vizinga tu na maneno matamu matamuAfu mbaya sana....hata denda hupati
Ha ha haa,eti ya uyole!....wewe afu mbona nakupenda hupendeki?London ya Uyole haha.
Ukiwa London huhitajiki kutafuta mchumba kupitia jf wala restaurand.
Kila kitu unamuuliza bibi yetu google.
Hii id ina shabaha mahsusi muda si mrefu jipu litapasuka
😅😅😅 sema humu sina nyota .. ninyi nyoote nimekubali muwe mashemeji na madada zangu, nimepambania sana humu makombe lakini waaapi..Ha ha haa,kashakuwa binamu
😂😂😂🤣🙌😋😋 hata kumshika kiuno na ku mkiss shingoni haipo.. unaishia vizinga tu na maneno matamu matamu
Ulikuwa unanipenda kimoyo moyo?Ha ha haa,eti ya uyole!....wewe afu mbona nakupenda hupendeki?
😂😂😂 cha muhimu lianzie tu na DSanaaa,ngoja nami nibadilishe jina tena nijiite ,Dear,Daisy au Docas! Lipi zuri hapo? Huenda nikaonwa nae
Mi Diana silipendi limekaa kindez kweli🙄🙄Jiite Diana Princess 😀😀😀 itapeneza
Eneseketesha sana kuwekwa friend zone, huku ukiona wengine wanakula kuku kwa mrija 🥲🥲😂😂😂🤣🙌
Sawa cute😂😂😂 cha muhimu lianzie tu na D
Anza na ya kutolea...mmezidi kukunjaEneseketesha sana kuwekwa friend zone, huku ukiona wengine wanakula kuku kwa mrija 🥲🥲
Jiite DumazSanaaa,ngoja nami nibadilishe jina tena nijiite ,Dear,Daisy au Docas! Lipi zuri hapo? Huenda nikaonwa nae